Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,776
- 42,933
Mafanikio gani?
Kiuchumi ndio huwa wanamanisha hivyo
Labda mafanikio yao ya ujinga, ufisadi na massacre.Mafanikio gani?
Hadi wewee Leo hii unasema hayaaa?? Kweli kila mtu atafikiwa kwa wakati wake.Nadhani alipaswa kusema "mafanikio ya familia ya Kikwete yanaonewa wivu na wengi".
Tangu lini mimi nikawa chawa wa familia ya Kikwete? Leta ushahidi.Hadi wewee Leo hii unasema hayaaa?? Kweli kila mtu atafikiwa kwa wakati wake.
Lol