Nadhani alipaswa kusema "mafanikio ya familia ya Kikwete yanaonewa wivu na wengi".
Mafanikio waliyopata kama familia kwa kupitia mgongo wa baba yake kufanya ufisadi!! Nchi ambayo vijana wenye nguvu wengi wao wanashinda kufanya betting ndio inaonewa wivu?!!! You must be crazy!