Ridhiwani Kikwete, Nguvu unayoitumia Kutuhamasisha 'Kusensabika' ungeitumia kumwambia Rais apunguze Tozo tungekuona wa maana

Ridhiwani Kikwete, Nguvu unayoitumia Kutuhamasisha 'Kusensabika' ungeitumia kumwambia Rais apunguze Tozo tungekuona wa maana

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Mbona Viongozi Wenzako wengine hawana hiki Kiherehere kama ulichonacho?

au huo Unaibu Uwaziri sasa Umeshauchoka na Unajipendekeza kwa Mama Ili ikimpendeza sasa akuteue Waziri Kamili kabisa?

Tafadhali hebu hamishia hii Nguvu Kubwa unayoitumia kutuasa Kusensabika kwa kumwambia Rais ( Mama ) apunguze au aondoe kabisa Tozo kwani zinatuumiza mno Watanzania ukiongeza na hii Inflation iliyopo sasa.

 
Duh wee badala umshambulie mwigulu na makamba I'll kusud waondoe tozo kweny mafuta wee unamshambulia ridhiwani siyo sawaa kbsa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom