Ridhiwani: Mapambano na Madawa ni kama yameanza

Tamaa ya Mwanadamu....
 
Tamaa ya Mwanadamu....
Hapana mkuu.

Mimi siamini kabisa. Ni risk kubwa sana kwa mtoto wa raisi kujihusisha na biashara kama hiyo. Hata usalama wa taifa wasingekubaliana na hilo..

Tusijidanganye jaman. Tutajeni watu wengine. Ila huyu tumuweke kando tafadhali
 
Hahahaha lisemwalo lipo kk...binadamu tuna siri nzito sana.
 
Jidanganye hivyohivyo. Unaishi wapi? Tanzania ni zaidi ya uijuavyo.
 
nani kakwambia makonda anabahatisha.
 
Jidanganye hivyohivyo. Unaishi wapi? Tanzania ni zaidi ya uijuavyo.

Hahahaha lisemwalo lipo kk...binadamu tuna siri nzito sana.

Kazi ya uraisi ni kubwa sana. Sasa baba unakuwa raisi then mtoto muuza unga!! Hiyo haileti maana. Sasa kuna umuhimu gani na faida gani ya kuwa raisi.

Jaman kuna namna nyingi za kutajirika sio madawa tu.

Anyways lakini mm sitabishana tena. Nisije kuja kuufyata kama Le Mutuz anatetea watu then anakuja kuumbuka.
 
Ktk msafara wa Mamba; naona Kenge nae yumo!!
 
Mh.Makonda ni RC na zaidi ya RC kwa sasa
anayo hadhara ya kuzungumzia .
Hii vita ni ya Watanzania wote.
Je mimi na wewe tusio na nafasi kama za Makonda haturuhusiwi kawataja wenye biashara hizo hata kama tunawajua?
Peleka majina yao sehemu husika utakua msaada wa mana sana
 
Vijana kama Ridhiwan Kikwete mkijitokeza hivi na wengine maarufu ktk vita hii ya Madawa ya Kulevya mtaweza kusaidia watoto wa kitanzania wanaoangamia na janga hili.

Makonda na Ridhiwan mmeonesha njia na wengine mfuate....

Tuokoe Tanzania na vizazi vyetu.
 
Wewe bila shaka utakuwa unaishi tandahimba ndani ndani huko hujui kinachoendelea mjini
 
Mkuu Unadhani Biashara hii ni ya watoto wa Maskini?! Mtoto wa mbwa anatoa wapi mtaji wa kupiga hizi dili labda awe punda wa kutumwa na hao watoto wa kishua
 
well said mkuu
watz wengi tunapenda ushabiki na hatujui tunataka nini
 
Wewe ni verified user au verified looser? Nauliza tu! Hueleweki hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…