Ridhiwani: Mapambano na Madawa ni kama yameanza

Nimeelewa kwa nini Waziri wa Mambo ya Ndani anaupotezea huu mchezo. Kumbe nae ameshawahi kutajwa
Son of Tanzania President named as Drug Lord by an inmate in a Hong Kong prison
 


My take :
Maajabu hayaishi Tanzania na nitaendelea kushangaa watu kulalamika kwa nini tupo hapa.......

Eti huyu naye anawanyoshea kidele wauza dawa za kulevya?.......

Halafu watanzania wanamshangilia .....

Hapa niwaambie tu ukweli hakuna kinachofanyika juu ya madawa ya kulevya zaidi ya kusafisha mtu ili aendelee na biashara zake za dawa kwa ukamilifu zaidi zaidi awamu hii.......

Hili jambo likifanikiwa Tanzania itaendelea kuwa ajabu la 8 dunia.....

Narudia tena Ridhiwani hana ubavu wa kukemea madawa ya kulevya tuache unafiki watanzania.........
 


Sasa kwa nini unampekua pekua na kumfwata fwata?
 
Kama nayeye anafanya biashara hiyo atashughulikiwa tu
 
Sasa unashangaa nini kama sio uchizi tuu? Hivi si ni nyie mliopinga Makonda kuwataja? Sasa nikuulize unashangaa nini? Kama una ushahidi na wewe peleka polisi....
Mlivyo sikia kuna Mapapa sijui mlidhani ni Papa Francis au Benedicto? Wametajwa Mapapa mmeanza kulia lia na mnataka wengine watajwe wakati wakitajwa mnapiga kelele.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Who is he fooling!?!?
 
Kuna bwana mmoja akizungumza/kuhutubia University aliwahi kusema kwa mwenzie kuwa sita kugusa na ukae kwa amani kabisa, nadhani alimaanisha na kwa familia yake pia
 
Tatizo La Rizone ni upole aliorithi Kwa Baba Yake Mzee Kikwete..
Kukaa kwake kimya mnataka mfanye ndio udhaifu wa kumtuhumu kwa tuhuma za kizushi...
Mkiambiwa mtoe ushahidi wa kwamba anauza madawa ya kulevya,mtatoa.???

Tunampinga Makonda Kwa Aproach Yake Ya kubahatisha na nyie mnafanya hivyohvyo..
 
"Haki Huinua Taifa Lakini Dhambi Ni Aibu Kwa Watu Wote"

Haki Itendeke Na Ionekane Imetendeka Wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…