KWEZISHO
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,519
- 6,518
Nimeelewa kwa nini Waziri wa Mambo ya Ndani anaupotezea huu mchezo. Kumbe nae ameshawahi kutajwaNi mwendelezo wa kupambana na MADAWA ya kulevya, ndugu Ridhiwani kikwete ameunga juhudi zinazofanywa na Paul makonda kutokomeza biashara haramu ya MADAWA ya kulevya. Ni wakati sasa wabunge wakaiga mfano wa huyu mbunge katika vita ya madawa ya kulevya. Pongezi kwako mheshimiwa kwa kuunga mkono juhudi Kali ya kupinga mihadarati
Jukumu la kutokomeza biashara hii ni la watanzania wote.
![]()
Je, Ridhiwani ni kweli anaunga mkono au anajisafisha tu kutokana na kutajwa kwake mara kwa mara kwenye madawa ya kulevya?.
.![]()
Tujadili pamoja. Karibu
Son of Tanzania President named as Drug Lord by an inmate in a Hong Kong prison