Ridhiwani: Mapambano na Madawa ni kama yameanza

we jiulize kwanini kila mtu anamyooshea yeye kidole..kuna tatizo sehemu flani
 
Hili la madawa kwa ridhiwani litapita Maana mwanzoni alisingiziwa kuwa lake oil ni yake wakati lake oil Ilikuwepo tangu anazaliwa
acha kupotosha riz kazaliwa 1980 lake oil imeanza miaka ya tisini,hata hivyo ujue kampuni huwa zinauzwa hata shirika la Uda ilikuwepo kabla kisena hajazaliwa
 

Mbona ujumbe wa kwenye bango unapinga vuta ya madawa ya kulenya kuwa sio suluhisho la mambo ambayo mshika bango ndio anayajua.
 
Anawatajia gizani itasaidia nini makonda anawataja hadharani

Mh.Makonda ni RC na zaidi ya RC kwa sasa
anayo hadhara ya kuzungumzia .
Hii vita ni ya Watanzania wote.
Je mimi na wewe tusio na nafasi kama za Makonda haturuhusiwi kawataja wenye biashara hizo hata kama tunawajua?
 

Akitajwa Mbowe mnataka uwepo na Ushahidi wa Kimahakama Ila akitajwa Ridhwan basi tuunge Mkono bila ya ushahidi!

Ndo Yale Yale ya List of shame,

List of shame iwe halali kumchafua Mzee Lowassa halafu ya Makonda iwe haramu kumchafua Mbowe!

Hawa Chadema asingetajwa Mbowe na Mshenga wao Gwajima basi wasingeipinga ile List ya Makonda kwa zile hoja za kisheria walizotumia kupinga!
 
Makonda amesema eti chalinze sio eneo la Dar kwa hiyo watuhumiwa wa huko hawamuhusu yeye.
Hahahahahaaa
Hiyo kazi kamuachia mkuu wa mkoa wa Pwani
Si ndio unaona hata hapo kwenyw bango la Riz ameandika Dar es salaam kwa juu kabsa.
Anatukumbisha kuwa yeye hayuko huku.
 
Hahahahahaaa
Hiyo kazi kamuachia mkuu wa mkoa wa Pwani
Si ndio unaona hata hapo kwenyw bango la Riz ameandika Dar es salaam kwa juu kabsa.
Anatukumbisha kuwa yeye hayuko huku.
Binadamu bwana akitafuta visingizio hakosi, mume anakwambia hajisikii kula kumbe anajua fika kuwa anaandaliwa mahanjumati kwa mchepuko.
 
Hujamuelewa mkuu , mapambano ndo kwanza yameanza ina maana yeye yupo upande ule unapingwa so anajiandaa kupambana na wanaomsakama.
 
Wewe nae njaa itakuua
 
Anataja watu anaofikili ni mapapa alafu ushahidi hana kwa mfano tumeona Kwa Gwajima, Idd azan(ingawaje sijui huyu kaponaje maana tetesi hazijaanza leo).... Ndo maana Mbowe na Bunge limeona ni harakati za kishenzi zinazoendeshwa na huyo RC that's why Ndugai kaamua kumkingia kifua Mbowe
 
Where is president Duterte when you need him? Hawa wanafiki hawa kwa Duterte wote shaba tu...
 
Hii ni sinema tena levo ya kirikuu. Watu wamezidiana ktk masoko sasa wanawapunguza wanyonge ili wabaki wababe watawale soko kibiashara kuuwa watoto wa wanyonge huku maisha yao yakisonga mbele basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…