My take :
Maajabu hayaishi Tanzania na nitaendelea kushangaa watu kulalamika kwa nini tupo hapa.......
Eti huyu naye anawanyoshea kidele wauza dawa za kulevya?.......
Halafu watanzania wanamshangilia .....
Hapa niwaambie tu ukweli hakuna kinachofanyika juu ya madawa ya kulevya zaidi ya kusafisha mtu ili aendelee na biashara zake za dawa kwa ukamilifu zaidi zaidi awamu hii.......
Hili jambo likifanikiwa Tanzania itaendelea kuwa ajabu la 8 dunia.....
Narudia tena Ridhiwani hana ubavu wa kukemea madawa ya kulevya tuache unafiki watanzania.........