Ridhiwani: Tumeishi na RC Makonda vizuri ila kutajwa kwenye madawa, kama familia tunamwachia Mungu

Lawama iko wapi?
Uhusiano na Makonda

Kuhusu uhusiano wake na Makonda alisema haujabadilika baada ya jina lake kuwamo katika orodha yake, lakini anamwachia Mungu kama alitajwa kwa hila.

Alisema pamoja na kuhojiwa kuhusu kashfa hiyo, amefurahi kuwa angalau sasa ukweli umejulikana.
----------
mwisho wa nukuu.
 
Bashite hana elimu ya mtaani (namna ya kuishi na watu vizuri) wala elimu ya darasani ndio hiyo kapata maFs .Yeye anadhani Kasoje ataendelea kumkingia kifua Siku zote au ataendelea kukaa jengo jeupe siku zote?Hajui kuna Leo na kesho?
 
Eti kikwete kashtuka hii nchi tunaishi kinafiki sana tena huyu ndo alimfanya matonya mpaka leo ahangaike baada ya kuuza nyumba yao tanga na anaonekana kama underground
 
Ni Ya Mungu and time will tell! Walitaka kuuza nchi hao! Mwenye Enzi Mungu akatunusuru! If you don't see that big picture, umeamua mwenyewe!
Ndo nmekuuliza hao waganga wake wa kutoka kasai huko DRC anaowatumia makonda kujizindika ndio unasema anaendesha VITA YA MUNGU!! mkuu uwe careful na kinywa chako utakuja kujizolea laana hivi hivi kisa ushabiki wa kisiasa...... yaani jitu linafanya uharamia wa clouds eti tukihoji mnasema wauza unga ndo wanamuandama!! really?? kwani walimlazimisha aende??? vita ya madawa inahusiana nni na yye kuvamia ofisi za habari
 
Bashite hana elimu ya mtaani (namna ya kuishi na watu vizuri) wala elimu ya darasani ndio hiyo kapata maFs .Yeye anadhani Kasoje ataendelea kumkingia kifua Siku zote au ataendelea kukaa jengo jeupe siku zote?Hajui kuna Leo na kesho?
Ridhiwani alimtaja ili kuwaridhishwa wana nchi ambao walikuwa wanalalamika sana ila alionyesha uoga toka mwanzo ila kamuharibia mwenzake
 
Hata wangemkamata na kete wangefanya nini unadhani watu wanafiki sana magamba
 
Nayajua yote. By the way Ridhiwani aache kulialia. Tuhuma za yeye kuhusika na madawa ya kulevya zimeanza kitambo. Mnakumbuka ile ishu ya kule china? Hizi ni tuhuma za muda mrefu. Asianze kutafuta pa kutokea
Mwisho utabaki peke yako kwenye chama, maana kila mmoja unamtuhumu
 
MFUGA NYOKA, HUGONGWA NA NYOKA ALIYEMFUGA....
 
Bashite alipompiga mzee Warioba Kikwete akadhani anamkomoa Warioba kwa kumpa ukuu wa wilaya kumbe sivyo, acha walalamike maana huyo jamaa ndo nasikia alifanikisha Bashite kupewa ukuu wa wilaya.
 
Ridhiwani alimtaja ili kuwaridhishwa wana nchi ambao walikuwa wanalalamika sana ila alionyesha uoga toka mwanzo ila kamuharibia mwenzake
Unafikiri kwa mtindo huu Rizone hawezi pita tena VIP airport bila kusachiwa hats kama anayo diplomatic passport!
 

Mnafiki mkubwa huyu, si ndio huyu alisababisha mikataba 17 ya Gas iliyosheheni ufedhuri kusainiwa na Chinese people baada ya Drugs zake kukamatwa huko?

Enzi za baba ake aligeuza nchi shamba la bibi, atulie aone Rais anavyofanya kazi!!!
 
Ridhiwani ni mwanasiasa wa Tanzania nitajie mwanasiasa wa Tanzania ambaye siyo mnafiki. Hahitaji kumlaumu Makonda maana kama asingehojiwa makonda angelalamikiwa yeye anatakiwa kumshukuru Makonda kwa kumuosha. Ridhiwani hapo alipo ana furaha kubwa sana sababu ameoshwa kama baba yake mdogo Lowasa alivyooshwa na UKAWA.
 
Kwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?
ile orodha Makonda alimkabidhi kamishna uliisoma?? Unawajua waliotajwa mule? Usitetee kilaujinga,utakuwa mjinga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…