Binafsi nimeshangaa sana juz alifurahi sana, unafiki mbaya sanaRiz ww acha unafiki, juzi ulivyotoka kuhojiwa ulifurahi sana, na ukaandika mwenyewe mitandaoni kuwa hawakukuta ukitumia au kuuza, and you feel free.. Leo unalaumu nn? Pia rumours kuwa ww ni muuzaji wa drugs zilikuwa muda mrefu kabla hata Magu hajawa Rais... Riz unatafuta kiki kwa hili, Makonda hakukutaja, hapa
unachochea mambo, na umefanya hivyo baada ya Makonda kwenda Clouds.. But haisaidii Mh. Rais yuko makini sana
Orodha ya tatu ya Makonda yenye majina 97 haikusomwa hadharani kwa hiyo huenda Ridhiwani alitajwa huko,Kwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?
Aliyenukuliwa ni Riziwani , sasa wewe muokota chupa unabisha nini ?Kwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?
Inasemekana kwenye awamu ya tatu alikuwepo...Kwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?
We kila.za, Nani kamsafisha? Kuwekwa jukwaani kwa kilichosemwa na Ridhiwani teyari Ni kumsafisha? Hebu nioneshe aliposafishwa! Vijana WA Lumumba miili mikubwa akili chembe ya Haradali! Acha Ubwabwa, ngoja tukuitie Kigwangala!Kwa hiyo Chadema tunakubaliana kwamba Ridhiwan hauzi unga? Maana sasa kila mtu tunamsafisha hahahahah haya bhana.
BAVICHA hawasomeki kwa kipi? Labda hujui kusoma, na kama unajua, Basi uelewa wako mdogo zaidi ya Kiroboto!Hivi nyie bavicha si mlikuwa mnasema jamaa anauza ngada na babake kuna mida alimwokoa uchina kwenye tundu la sindano, leo mbona hamsomeki??
Wewe umedandia hata huelewi kilichopo humu! Shule ulienda kusomea Ujinga? Yeye ndiye anaelalamika, umeona Nani humu jukwaani akilalamika ama ku Sympathise na Ridhiwani? Hizo Ni habari zilizopo magazetini, hilo nalo gumu kuelewa?Kwa hiyo unga anauza ila shida ni kutajwa na MAKONDA? Yani nyie jamaa ni vimeo kweli kweli dandia dandia ya matukio mbeleni itawaacha uchi
Kwani hujui kuna orodha nyingine haikutajwa hadharani......?acha kijitoa ufahamu kijana.Kwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?
Mkuu nyoka akikumbatiwa vizuri ana tulia tulia kama maji mtungini.Siku zote nyoka hakumbatiwi hata kidogo.
ushabiki wa kijinga. soma awamu ya tatu ukiipata hii Makonda alikabidhi ukumbi wa Nyerere bila kuisomaKwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?
Sawa mkuuMkuu nyoka akikumbatiwa vizuri ana tulia tulia kama maji mtungini.
Sema angepewa Maneno haya ya wahenga
"Mzinga wa nyuki haukumbatiwi"
"Nyuki hapigwi busy".
inamaana yeye ridhi1 halikuwa hajui huku mtaani watu wanajua ngada ndio dili zake? au ni pale unapotafuta mnyonge uumpe lawama zake?Kwa sababu,umetumia busara kuuliza nkujibu,lRidhiwan jina lke lilikuepo kwny ile orodha ya mwsho aliyojimasibu mpk watoto wa viongoz wamo ila majina hayakusomwa na orodha ya watuhumiwa ilikabidhiwa kwa commissioner wa kupambana na drigs
Hivi Lizabon ndio kamgeuka rizone Mara.Kweli huu ni unafiki wa kiwango cha PHD!!Mwisho utabaki peke yako kwenye chama, maana kila mmoja unamtuhumu
Mjinga huyoKwani hujui kuna orodha nyingine haikutajwa hadharani......?acha kijitoa ufahamu kijana.