Ridhiwani: Tumeishi na RC Makonda vizuri ila kutajwa kwenye madawa, kama familia tunamwachia Mungu

Ridhiwani: Tumeishi na RC Makonda vizuri ila kutajwa kwenye madawa, kama familia tunamwachia Mungu

Riz ww acha unafiki, juzi ulivyotoka kuhojiwa ulifurahi sana, na ukaandika mwenyewe mitandaoni kuwa hawakukuta ukitumia au kuuza, and you feel free.. Leo unalaumu nn? Pia rumours kuwa ww ni muuzaji wa drugs zilikuwa muda mrefu kabla hata Magu hajawa Rais... Riz unatafuta kiki kwa hili, Makonda hakukutaja, hapa
unachochea mambo, na umefanya hivyo baada ya Makonda kwenda Clouds.. But haisaidii Mh. Rais yuko makini sana
Binafsi nimeshangaa sana juz alifurahi sana, unafiki mbaya sana
 
Kwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?
Orodha ya tatu ya Makonda yenye majina 97 haikusomwa hadharani kwa hiyo huenda Ridhiwani alitajwa huko,
 
Huyu nae

Angeondoa jina lake, angesemaje baada.

Naona yupo busy kutafuta huruma au kitu ajuacho kuonekana msafi.

Kuna jambo, kusema kahojiwa alitangaza mwenyewe.

Mmmmmnh

Kuna nyoka bado wabishi

Uchunguzi ukiendelea watatajwa tu, hii ni kujaribu kuogopesha or kuja kudai kuonewa.

Sijui lake ila anakazania sana hii topic, au anatishia wengine kitu!?
 
Kwa hiyo Chadema tunakubaliana kwamba Ridhiwan hauzi unga? Maana sasa kila mtu tunamsafisha hahahahah haya bhana.
We kila.za, Nani kamsafisha? Kuwekwa jukwaani kwa kilichosemwa na Ridhiwani teyari Ni kumsafisha? Hebu nioneshe aliposafishwa! Vijana WA Lumumba miili mikubwa akili chembe ya Haradali! Acha Ubwabwa, ngoja tukuitie Kigwangala!
 
Hivi nyie bavicha si mlikuwa mnasema jamaa anauza ngada na babake kuna mida alimwokoa uchina kwenye tundu la sindano, leo mbona hamsomeki??
BAVICHA hawasomeki kwa kipi? Labda hujui kusoma, na kama unajua, Basi uelewa wako mdogo zaidi ya Kiroboto!
 
Kwa hiyo unga anauza ila shida ni kutajwa na MAKONDA? Yani nyie jamaa ni vimeo kweli kweli dandia dandia ya matukio mbeleni itawaacha uchi
Wewe umedandia hata huelewi kilichopo humu! Shule ulienda kusomea Ujinga? Yeye ndiye anaelalamika, umeona Nani humu jukwaani akilalamika ama ku Sympathise na Ridhiwani? Hizo Ni habari zilizopo magazetini, hilo nalo gumu kuelewa?
 
Kwa sababu,umetumia busara kuuliza nkujibu,lRidhiwan jina lke lilikuepo kwny ile orodha ya mwsho aliyojimasibu mpk watoto wa viongoz wamo ila majina hayakusomwa na orodha ya watuhumiwa ilikabidhiwa kwa commissioner wa kupambana na drigs
inamaana yeye ridhi1 halikuwa hajui huku mtaani watu wanajua ngada ndio dili zake? au ni pale unapotafuta mnyonge uumpe lawama zake?
 
Movie ya kihindi imeisha starring kafa.
 
Mimi naona kama ndio hivyo ungempongeza Makonda.
Kwakuwa
Huku mitaani kulikuwa na vimanenoneno vingiiiii...vikikusingizisingizia.
Makonda amekusaidia kukuweka huru yaani kutosingiziwasingiziwa tena.
Sipo karibu na Makonda ila kiukweli watu walikuwa wanakusema sana huku mtaani, lakini kwa sasa hawakusemi tena.
Kwasasa uko Swafi kabisa.
Pole kwa usumbufu ndio mambo ya ukubwa hayo.
Wahenga walisema
Ukubwa ni jalala.
 
Back
Top Bottom