Ridhiwani: Tumeishi na RC Makonda vizuri ila kutajwa kwenye madawa, kama familia tunamwachia Mungu

Nayajua yote. By the way Ridhiwani aache kulialia. Tuhuma za yeye kuhusika na madawa ya kulevya zimeanza kitambo. Mnakumbuka ile ishu ya kule china? Hizi ni tuhuma za muda mrefu. Asianze kutafuta pa kutokea
Hichi ndicho kizazi Cha buku7 Lumumba kilichoondoka na jiwe,kimepotea kabisa!!!
 
Kwa hali ilivyo, Makonda anatekeleza maagizo.

Kwa nia njema au mbaya Mungu ndio anajua.

Ila yote yana mwisho.
Yana mwisho kweli. Aliyemtuma alishafikamwisho. Aliyetumwa sasa anaishi kama digidigi.
 
Nayajua yote. By the way Ridhiwani aache kulialia. Tuhuma za yeye kuhusika na madawa ya kulevya zimeanza kitambo. Mnakumbuka ile ishu ya kule china? Hizi ni tuhuma za muda mrefu. Asianze kutafuta pa kutokea
vipi mlimkuta na hatia?
 
Swali ni kwanini mtoto wa rais ahusishwe, ana shida gani?! Riz kasoma, ana kila aina ya kupata options za kufanikiwa maisha, kwanini anahusishwa na hiyo biz ya watoto maskini wa Tanga, Kino, Migo na Ilala?!
 
Shika adabu yako. Ninakuheshimu sana. TANGA mji wa maustaadh, ma maalim, madheikh na maulamaa unauhusishaje na Mambo yenu huko ya huko Dar, Chato na Moro?
 
Kutajwa kwa Mbowe ,Ridhiwani, kulisaidia sana kuondoa madawa ya kulevya mitaani.

Vijana hawatoi kamasi tena mababarani
 
Hawa ndio walioharibu na wanaozidi kuvuruga nchi yetu baada ya kukamilisha kazi fulani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…