TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Ujue hata shetani anatajwa japo nyuma ya pazia kwa jina la mungu japo si Mungu.Bado wanaendelea kumuchia Mungu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujue hata shetani anatajwa japo nyuma ya pazia kwa jina la mungu japo si Mungu.Bado wanaendelea kumuchia Mungu?
Hichi ndicho kizazi Cha buku7 Lumumba kilichoondoka na jiwe,kimepotea kabisa!!!Nayajua yote. By the way Ridhiwani aache kulialia. Tuhuma za yeye kuhusika na madawa ya kulevya zimeanza kitambo. Mnakumbuka ile ishu ya kule china? Hizi ni tuhuma za muda mrefu. Asianze kutafuta pa kutokea
sasa tukisema leo Makonda ashughulikiwe atakuwa mgeni wanani?Kwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?
kimepotea mazima. Kizazi cha bashite et alHichi ndicho kizazi Cha buku7 Lumumba kilichoondoka na jiwe,kimepotea kabisa!!!
Yana mwisho kweli. Aliyemtuma alishafikamwisho. Aliyetumwa sasa anaishi kama digidigi.Kwa hali ilivyo, Makonda anatekeleza maagizo.
Kwa nia njema au mbaya Mungu ndio anajua.
Ila yote yana mwisho.
vipi mlimkuta na hatia?Nayajua yote. By the way Ridhiwani aache kulialia. Tuhuma za yeye kuhusika na madawa ya kulevya zimeanza kitambo. Mnakumbuka ile ishu ya kule china? Hizi ni tuhuma za muda mrefu. Asianze kutafuta pa kutokea
Akikujibu nitagvipi mlimkuta na hatia?
Yaaani acha tu.sasa tukisema leo Makonda ashughulikiwe atakuwa mgeni wanani?
Yupo kigamboni..Hivi Makonda yuko wapi? Kuna mwenye habari zake?
Maisha yanabadilika. Leo watu wakimshughulikia atakuwa mgeni wa wapi? Nasikia yuko Arusha chuoni anasoma MastersHivi Makonda yuko wapi? Kuna mwenye habari zake?
Mada ni ya MakondaRidhwani amesahau watu alio umiza kwenye utawala wao Mara moja hii?
Shika adabu yako. Ninakuheshimu sana. TANGA mji wa maustaadh, ma maalim, madheikh na maulamaa unauhusishaje na Mambo yenu huko ya huko Dar, Chato na Moro?Swali ni kwanini mtoto wa rais ahusishwe, ana shida gani?! Riz kasoma, ana kila aina ya kupata options za kufanikiwa maisha, kwanini anahusishwa na hiyo biz ya watoto maskini wa Tanga, Kino, Migo na Ilala?!
Samahani mdau...🤔🤐Shika adabu yako. Ninakuheshimu sana. TANGA mji wa maustaadh, ma maalim, madheikh na maulamaa unauhusishaje na Mambo yenu huko ya huko Dar, Chato na Moro?
Acha ujinga.Shika adabu yako. Ninakuheshimu sana. TANGA mji wa maustaadh, ma maalim, madheikh na maulamaa unauhusishaje na Mambo yenu huko ya huko Dar, Chato na Moro?
Inawez kuwa Sasa au tusubiri?Ridhiwani huwa hasamehee atakula nae sahani moja. Like father like son