Ridhiwani: Tumeishi na RC Makonda vizuri ila kutajwa kwenye madawa, kama familia tunamwachia Mungu

Tutegemee madawa ya kulenya kushamiri, vijana wengi kuwa mateja, malalamiko ya ardhi kuongezeka,maskini, wajane, yatima kudhulimiwa ardhi zao.
 
Hawa ndio walioharibu na wanaozidi kuvuruga nchi yetu baada ya kukamilisha kazi fulani!
Mimi silipendi hilo li mama lenu,
Ajabu watz kutwa kujigonga tu, mamaa, mamaa, mamaa!!!!?[emoji26]
Jitu lina usongo wa roho mbaya namna hiyo, na linawaghimna tu mnavyojigonga gonga , linawapiga vizuri,
 
Umepewa kilengeo rizi target ipo mbele yako
 
Tutegemee madawa ya kulenya kushamiri, vijana wengi kuwa mateja, malalamiko ya ardhi kuongezeka,maskini, wajane, yatima kudhulimiwa ardhi zao.
Mbona hukuongea kipindi cha Magu watu kuuawa, kubambikiwa kesi na kudhulumiwa mali zao? Kuna mtu muovu amewahi kutokea Tanzania kama yule?
 
Mbona hukuongea kipindi cha Magu watu kuuawa, kubambikiwa kesi na kudhulumiwa mali zao? Kuna mtu muovu amewahi kutokea Tanzania kama yule?
Watoto milioni ngapi wamepata elimu, familia ngapi
zimepata umeme, maji, huduma hospitalini, kusikilizwa na taasisi za serikali, barabara ngapi zimejengwa kusaidia wakulima kufikisha mazao yao sokoni.

Umeme, maji uliokoa maisha ya wengi, kuendeleza biashara nyingi.

Elimu bure ilisaidia familia nyingi, ilitasaidia vijiji, Wanavijiji wengi.

Tanzania nzima ilijengwa kwa haraka.

Visingefanyika hivi milioni labda wangekufa, wengine kuathirika kiafya, kielimu, afya za akili, kibiashara etc.

Uovu ni nini? Kusaidia milioni za familia kukamata mafisadi, wezi wa mali za umma. Kuhakikisha mali za umma zinatumika vizuri.

Au ni kukabidhi nchi kwa Familia chache, Mafia Familia, Costra Nostra.

Kila kitu lazima ukubaliane nao, au unatupwa nje,kutishiwa maisha, kuuwawa.
 
Miaka yote watu wanasoma bure..toka kipindi cha Nyerere
 
Hizi nyuzi za siku mingi mingi,naona makaburi yanafukuliwa🤔
 
Alikua na uhakika mungu wa kalamaganda bundi atatawala Hadi. 30.
Hata mfadhili wa timu ya wananchi asingeleta vyoko Kama aliyetangulia angekua hai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…