ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,586
- 3,857
Tutegemee madawa ya kulenya kushamiri, vijana wengi kuwa mateja, malalamiko ya ardhi kuongezeka,maskini, wajane, yatima kudhulimiwa ardhi zao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi silipendi hilo li mama lenu,Hawa ndio walioharibu na wanaozidi kuvuruga nchi yetu baada ya kukamilisha kazi fulani!
Duru ya pili ilikuwa ishutue duniaHujui kulikuwa na orodha nyingine ambayo majina yake hayakuwekwa hadharani baada ya Kamishina wa Tume ya Kupambana na Madawa ya Kulevya kuanza kazi?
Tupe kwanza habari zakoHivi Makonda yuko wapi? Kuna mwenye habari zake?
Mbona hukuongea kipindi cha Magu watu kuuawa, kubambikiwa kesi na kudhulumiwa mali zao? Kuna mtu muovu amewahi kutokea Tanzania kama yule?Tutegemee madawa ya kulenya kushamiri, vijana wengi kuwa mateja, malalamiko ya ardhi kuongezeka,maskini, wajane, yatima kudhulimiwa ardhi zao.
Watoto milioni ngapi wamepata elimu, familia ngapiMbona hukuongea kipindi cha Magu watu kuuawa, kubambikiwa kesi na kudhulumiwa mali zao? Kuna mtu muovu amewahi kutokea Tanzania kama yule?
Paaap huyu hapa kala kitengoRidhiwani huwa hasamehee atakula nae sahani moja. Like father like son
Miaka yote watu wanasoma bure..toka kipindi cha NyerereWatoto milioni ngapi wamepata elimu, familia ngapi
zimepata umeme, maji, huduma hospitalini, kusikilizwa na taasisi za serikali, barabara ngapi zimejengwa kusaidia wakulima kufikisha mazao yao sokoni.
Umeme, maji uliokoa maisha ya wengi, kuendeleza biashara nyingi.
Elimu bure ilisaidia familia nyingi, ilitasaidia vijiji, Wanavijiji wengi.
Tanzania nzima ilijengwa kwa haraka.
Visingefanyika hivi milioni labda wangekufa, wengine kuathirika kiafya, kielimu, afya za akili, kibiashara etc.
Uovu ni nini? Kusaidia milioni za familia kukamata mafisadi, wezi wa mali za umma. Kuhakikisha mali za umma zinatumika vizuri.
Au ni kukabidhi nchi kwa Familia chache, Mafia Familia, Costra Nostra.
Kila kitu lazima ukubaliane nao, au unatupwa nje,kutishiwa maisha, kuuwawa.
Iko namna, kaa na wajuzi wakueleweshe.Kwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?
Ridhiwani huwa hasamehee atakula nae sahani moja. Like father like son
Miaka yake ya uzeeni Bashite atakuja kuishi maisha mabaya sana.. Tuombe uhai
Sijakuelewa Kaka mkuuMakaburiii
Siku Lisu anamiminiwa marisasiMakaburiii
Hiyu sijui wakati rizmoko anaitwa alikuwa kasinzia?Iko namna, kaa na wajuzi wakueleweshe.
Mali za watu alichukua za nini bwasheeAcha ikae hivyo
Kitoto vinakuja JF kuwatetea MABWANA zao tuwachukulie ivo ivoHiyu sijui wakati rizmoko anaitwa alikuwa kasinzia?