Ridhiwani: Tumeishi na RC Makonda vizuri ila kutajwa kwenye madawa, kama familia tunamwachia Mungu

Ridhiwani: Tumeishi na RC Makonda vizuri ila kutajwa kwenye madawa, kama familia tunamwachia Mungu

Tusichanganye kuitwa na tume kuhojiwa na wakati huo huo akasema amejisikia vizuri.

Maana, tume imemsafisha.

Sasa, upande wa pili wa sarafu...

Sasa, yeye shida yake inakuja pale baada ya kuelewa aliyemtaja Sasa hapo ndiyo anaposikitika na familia yake kuwa katika huzuni.

Kitakachotokea kwa mtu mimi nafunga
 
Kwa sababu,umetumia busara kuuliza nkujibu,lRidhiwan jina lke lilikuepo kwny ile orodha ya mwsho aliyojimasibu mpk watoto wa viongoz wamo ila majina hayakusomwa na orodha ya watuhumiwa ilikabidhiwa kwa commissioner wa kupambana na drigs

mkuu ni makusudi au uvivu? [emoji23][emoji23][emoji23]

nkujibu
IRidhiwan
lke
lilikuepo
kwny
mwsho
aliyojimasibu
mpk
viongoz
drigs
 
Kwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?
Jiongeze bro. Orodha ya pili yenye majina 66 ambayo Kondakta alizuiwa kuitoa jina la Ridhwani lilikuwepo.
 
Back
Top Bottom