pappilon
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 3,192
- 3,559
Nayajua yote. By the way Ridhiwani aache kulialia. Tuhuma za yeye kuhusika na madawa ya kulevya zimeanza kitambo. Mnakumbuka ile ishu ya kule china? Hizi ni tuhuma za muda mrefu. Asianze kutafuta pa kutokea
Mtararuana sana mwaka huu na bado.