Ridhiwani: Tumeishi na RC Makonda vizuri ila kutajwa kwenye madawa, kama familia tunamwachia Mungu

Ridhiwani: Tumeishi na RC Makonda vizuri ila kutajwa kwenye madawa, kama familia tunamwachia Mungu

Ridhiwan mnafiki yeye juz si alikua ana Furahi, anasema a nashukuru sasa kuwa amekua huru sababu tume imemuona hauzi, alikua anaongea Miladiayo, na ata katika video ya mwananchi digital.. Gazeti linaandika wanavyotaka wao, Kwani minong'ono alianzisha makonda
Unafiki wake uko wapi?? kama hakukutwa na hatia lazima ashukuru kuwa huru...ila hatamwelewa aliye mtaja ata kama ningelikuwa mimi. Unanipakazia halafu nikuone wa maana kwa lipi
 
Kikubwa na kizuri tumekubaliana wote sasa kwamba Ridhiwan hauzi unga. Tusijeona ona tena mjadala kwamba Ridhiwan ni muuza unga .Vyama vyote na wananchi wote tumekubaliana ili hapa rasmi hahahahahahah raha sana.
Anacholalamika Ridhwani mtajuana nyinyi wenyewe wauza unga huko CCM sisi hayatuhusu
 
Nayajua yote. By the way Ridhiwani aache kulialia. Tuhuma za yeye kuhusika na madawa ya kulevya zimeanza kitambo. Mnakumbuka ile ishu ya kule china? Hizi ni tuhuma za muda mrefu. Asianze kutafuta pa kutokea
Leo bila aibu kwa sababu hayuko kwenye system mnamgeuka?ndivyo mtakavyo mgeuka na makonda akitoka kwenye system
 
Nayajua yote. By the way Ridhiwani aache kulialia. Tuhuma za yeye kuhusika na madawa ya kulevya zimeanza kitambo. Mnakumbuka ile ishu ya kule china? Hizi ni tuhuma za muda mrefu. Asianze kutafuta pa kutokea
Aaah bro Lizaboni mambo gani tena.. ?
 
Kwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?
Zile ordha alikuwa anasema anazo na zitaendelea kutoka Riz 1 hakuwa pia ?

Kumbe basi majina yaliandaliwa lumumba ndio maana unajua hata majina yasiosomwa Riz hakuwepo

Nasikia kulikuwa na majina ya akina nape mskuma na Bashe?
 
Hivi nyie bavicha si mlikuwa mnasema jamaa anauza ngada na babake kuna mida alimwokoa uchina kwenye tundu la sindano, leo mbona hamsomeki??
Yaan ni mpishano tu we hujastukia tu..? makinda sema haaminiki tena
 
Nayajua yote. By the way Ridhiwani aache kulialia. Tuhuma za yeye kuhusika na madawa ya kulevya zimeanza kitambo. Mnakumbuka ile ishu ya kule china? Hizi ni tuhuma za muda mrefu. Asianze kutafuta pa kutokea
Unatema big G kwa karanga za kuonjesha, leo unamgeuka Riz1 kwa sababu ya Makonda.
 
Yaan ni mpishano tu we hujastukia tu..? makinda sema haaminiki tena
Hawajui wanataka nini hawa misukule ya mbowe,,,wanakubali kesho wanakataaa yaaan leo hili kesho lile
 
Back
Top Bottom