jamiiyamtimkavu
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 274
- 192
Unajuaje kama hakuwepo? kwenye ile list ya mwisho? Ridhiwani anavyanzo vingi vya habari.Kwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajuaje kama hakuwepo? kwenye ile list ya mwisho? Ridhiwani anavyanzo vingi vya habari.Kwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?
Unafiki wake uko wapi?? kama hakukutwa na hatia lazima ashukuru kuwa huru...ila hatamwelewa aliye mtaja ata kama ningelikuwa mimi. Unanipakazia halafu nikuone wa maana kwa lipiRidhiwan mnafiki yeye juz si alikua ana Furahi, anasema a nashukuru sasa kuwa amekua huru sababu tume imemuona hauzi, alikua anaongea Miladiayo, na ata katika video ya mwananchi digital.. Gazeti linaandika wanavyotaka wao, Kwani minong'ono alianzisha makonda
Anacholalamika Ridhwani mtajuana nyinyi wenyewe wauza unga huko CCM sisi hayatuhusuKikubwa na kizuri tumekubaliana wote sasa kwamba Ridhiwan hauzi unga. Tusijeona ona tena mjadala kwamba Ridhiwan ni muuza unga .Vyama vyote na wananchi wote tumekubaliana ili hapa rasmi hahahahahahah raha sana.
Leo bila aibu kwa sababu hayuko kwenye system mnamgeuka?ndivyo mtakavyo mgeuka na makonda akitoka kwenye systemNayajua yote. By the way Ridhiwani aache kulialia. Tuhuma za yeye kuhusika na madawa ya kulevya zimeanza kitambo. Mnakumbuka ile ishu ya kule china? Hizi ni tuhuma za muda mrefu. Asianze kutafuta pa kutokea
Yale majina 97 unayajua yote?Kwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?
Chadema unawajuaje? Au hadi ritz ni chdm!?Kwa hiyo Chadema sasa mnaungana kusema kumbe Ridhiwan hauzi unga, mlikuwa mnamsingizia tu?
Kumbe Makubwa haya! Another Episode ya drama!Kwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?
Aaah bro Lizaboni mambo gani tena.. ?Nayajua yote. By the way Ridhiwani aache kulialia. Tuhuma za yeye kuhusika na madawa ya kulevya zimeanza kitambo. Mnakumbuka ile ishu ya kule china? Hizi ni tuhuma za muda mrefu. Asianze kutafuta pa kutokea
Zile ordha alikuwa anasema anazo na zitaendelea kutoka Riz 1 hakuwa pia ?Kwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?
Yaan ni mpishano tu we hujastukia tu..? makinda sema haaminiki tenaHivi nyie bavicha si mlikuwa mnasema jamaa anauza ngada na babake kuna mida alimwokoa uchina kwenye tundu la sindano, leo mbona hamsomeki??
Chadema au Gazeti Mwananchi?Kwa hiyo Chadema sasa mnaungana kusema kumbe Ridhiwan hauzi unga, mlikuwa mnamsingizia tu?
Kampa ukuu wa Wilaya lakini kamgeuka, Bashite ni hatari kuliko ukoma.Lumumba mambo mengine muwe na soni!Mpaka yeye anasema hivyo,yeye Si "chizi"Kwahiyo unataka kusema anampakazia mwenzie?
Unatema big G kwa karanga za kuonjesha, leo unamgeuka Riz1 kwa sababu ya Makonda.Nayajua yote. By the way Ridhiwani aache kulialia. Tuhuma za yeye kuhusika na madawa ya kulevya zimeanza kitambo. Mnakumbuka ile ishu ya kule china? Hizi ni tuhuma za muda mrefu. Asianze kutafuta pa kutokea
Hawajui wanataka nini hawa misukule ya mbowe,,,wanakubali kesho wanakataaa yaaan leo hili kesho lileYaan ni mpishano tu we hujastukia tu..? makinda sema haaminiki tena
Duh et makinda ni MAKONDAYaan ni mpishano tu we hujastukia tu..? makinda sema haaminiki tena
Wapikaji ni CCM wenyewe kazi yetu ni kuhakikisha Luku haiishi ili moto usizimike.Kwa hiyo Chadema sasa mnaungana kusema kumbe Ridhiwan hauzi unga, mlikuwa mnamsingizia tu?
Ila makonda anakela...simtetei rixioneHawajui wanataka nini hawa misukule ya mbowe,,,wanakubali kesho wanakataaa yaaan leo hili kesho lile
Boya huyo lizabon usingemjibu tuKwan ww majina ya watu 97 ulikuwa una ya jua