kwa hio ilikuwa ni mpango aitwe ili asafishwe..Ridhwani wala familia ya Rais mstaafu wasichukie kwani Ridhwani kuitwa na kuhojiwa imemaliza mzizi wa fitina dhidi yake.
Kabla hata ya Makonda watu walimzushia Ridhwani tuhuma dhidi yake lakini kama alihojiwa hiyo ni dalili ya kufuta tuhuma dhidi ya mheshimiwal
Kwa hiyo Chadema sasa mnaungana kusema kumbe Ridhiwan hauzi unga, mlikuwa mnamsingizia tu?
Bashite acha hizo bwana!Kwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?
Nomekuelewa kumbe Makonda ni suala la muda tu ,Ndio maana Nape anapiga huku na kule nimeusoma mchezoTusichanganye kuitwa na tume kuhojiwa na wakati huo huo akasema amejisikia vizuri.
Maana, tume imemsafisha.
Sasa, upande wa pili wa sarafu...
Sasa, yeye shida yake inakuja pale baada ya kuelewa aliyemtaja Sasa hapo ndiyo anaposikitika na familia yake kuwa katika huzuni.
Kitakachotokea kwa mtu mimi nafunga
Sasa wewe unakanusha nini hapo?Kwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?
Siku nyoka akimgonga yeye mwenyewe ndiyo atapa akili vizuri kama Clouds walivyopata akili.Boya huyo lizabon usingemjibu tu
Wewe umejuaje, au wewe ni Makonda?Kwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?
Leo hii chadema mnamtetea tena Ridhiwani? Seriously!Kunguru hafugiki
umekubaliana na nani? acha ujinga wewe. hv ww kama unakula mke wa mtu na watu wakakutonya jamaa anamtego wa kukufumania bado utaendelea kumlamba? na baada ya hapo jamaa anatuma polisi kukuhoji kama unamkula mke wake wewe utakiri wakati ulishatonywa kabla?. acheni kutumia makalio kufikiri...ccm ni ile ileKikubwa na kizuri tumekubaliana wote sasa kwamba Ridhiwan hauzi unga. Tusijeona ona tena mjadala kwamba Ridhiwan ni muuza unga .Vyama vyote na wananchi wote tumekubaliana ili hapa rasmi hahahahahahah raha sana.
Wewe sii ulikuwa unasema tuhuma za uongo? Sasa baba yake kaondoka madarakani unamkana! Huo ni umalaya kuangalia kwenye riziki tuuNayajua yote. By the way Ridhiwani aache kulialia. Tuhuma za yeye kuhusika na madawa ya kulevya zimeanza kitambo. Mnakumbuka ile ishu ya kule china? Hizi ni tuhuma za muda mrefu. Asianze kutafuta pa kutokea
Nijuze namiesasa nimeelewa kwa nini mama Salma Kikwete amepewa ubunge wa viti maalum..!
We ngombe chadema wameingiaje tenaKwa hiyo Chadema sasa mnaungana kusema kumbe Ridhiwan hauzi unga, mlikuwa mnamsingizia tu?
twende PMNijuze namie
ukitaka kumkamata mwiz usimtangazie unatakiwa umvizie..walichofanya akina makonda nikuwaandaa wauza unga kuficha makucha yao. hta ingekuwa mimi hangenipata. so hatuna uhakika kama riz 2 anapiga au hapigi ukwel anaujua mwenyewe na mungu wakeUnafiki wake uko wapi?? kama hakukutwa na hatia lazima ashukuru kuwa huru...ila hatamwelewa aliye mtaja ata kama ningelikuwa mimi. Unanipakazia halafu nikuone wa maana kwa lipi
twende PMNijuze namie
No research no right to speakKwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?