Ridhiwani: Tumeishi na RC Makonda vizuri ila kutajwa kwenye madawa, kama familia tunamwachia Mungu

Ridhiwani: Tumeishi na RC Makonda vizuri ila kutajwa kwenye madawa, kama familia tunamwachia Mungu

Ridhwani wala familia ya Rais mstaafu wasichukie kwani Ridhwani kuitwa na kuhojiwa imemaliza mzizi wa fitina dhidi yake.
Kabla hata ya Makonda watu walimzushia Ridhwani tuhuma dhidi yake lakini kama alihojiwa hiyo ni dalili ya kufuta tuhuma dhidi ya mheshimiwal
kwa hio ilikuwa ni mpango aitwe ili asafishwe..
 
Hivi hii kitu the so called vita ya madawa ya kulevya ni tani ngapi wameshakamata na ni watu wangapi wameshahukumiwa? ninachoona mimi ni maigizo tu.
 
Tusichanganye kuitwa na tume kuhojiwa na wakati huo huo akasema amejisikia vizuri.

Maana, tume imemsafisha.

Sasa, upande wa pili wa sarafu...

Sasa, yeye shida yake inakuja pale baada ya kuelewa aliyemtaja Sasa hapo ndiyo anaposikitika na familia yake kuwa katika huzuni.

Kitakachotokea kwa mtu mimi nafunga
Nomekuelewa kumbe Makonda ni suala la muda tu ,Ndio maana Nape anapiga huku na kule nimeusoma mchezo
 
Kwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?
Sasa wewe unakanusha nini hapo?
Orodha ya tatu haikusomwa hadharani hata hvyo mhusika anasema alikuwepo na alihojiwa sasa wewe mkurupukaji unajitoa ufahamu.
 

Msimsingizie Makonda kila kitu. Madawa mlitajwa tangia mko madarakani kwamba ulikamatwa china mzee akasafiri usiku kwa usiku kukukomboa na kilichofanyika kwamba ikawa ni barter trade Nchi kwa Wewe.

Umetajwa kenya kwamba wewe ni mtambo halisi kwenye hilo jehanum la kuangamiza binadamu.

Jina lako limeotka kwenye waraka wa wafungwa walioko China kwamba ni mmja wa wamaarufu katika hilo.

Kwa nini hukukanusha hayo unaleta unafiki hapa kulia lia kwa kuwa umeona Makonda ni kibonde chako?

Siku yaja!
 
Kikubwa na kizuri tumekubaliana wote sasa kwamba Ridhiwan hauzi unga. Tusijeona ona tena mjadala kwamba Ridhiwan ni muuza unga .Vyama vyote na wananchi wote tumekubaliana ili hapa rasmi hahahahahahah raha sana.
umekubaliana na nani? acha ujinga wewe. hv ww kama unakula mke wa mtu na watu wakakutonya jamaa anamtego wa kukufumania bado utaendelea kumlamba? na baada ya hapo jamaa anatuma polisi kukuhoji kama unamkula mke wake wewe utakiri wakati ulishatonywa kabla?. acheni kutumia makalio kufikiri...ccm ni ile ile
 
Nayajua yote. By the way Ridhiwani aache kulialia. Tuhuma za yeye kuhusika na madawa ya kulevya zimeanza kitambo. Mnakumbuka ile ishu ya kule china? Hizi ni tuhuma za muda mrefu. Asianze kutafuta pa kutokea
Wewe sii ulikuwa unasema tuhuma za uongo? Sasa baba yake kaondoka madarakani unamkana! Huo ni umalaya kuangalia kwenye riziki tuu
 
Unafiki wake uko wapi?? kama hakukutwa na hatia lazima ashukuru kuwa huru...ila hatamwelewa aliye mtaja ata kama ningelikuwa mimi. Unanipakazia halafu nikuone wa maana kwa lipi
ukitaka kumkamata mwiz usimtangazie unatakiwa umvizie..walichofanya akina makonda nikuwaandaa wauza unga kuficha makucha yao. hta ingekuwa mimi hangenipata. so hatuna uhakika kama riz 2 anapiga au hapigi ukwel anaujua mwenyewe na mungu wake
 
watanzania aliyeturoga kafa..yaani suala la ridhwani kutajwa kuhusika na unga ni jipya?si ni sisi tuliokuwa tunamsakama kwa miaka mingi humu?si ni sisi tuliokuwa tunasema alikamatwa china mzee wake akaenda kumtoa!!si ni sisi tuliomlaumu sana makonda kwa kutomtaja kwenye orodha mbili za mwanzo?lakini si ni yeye ridhwani alishukuru kuitwa ili hili suala liishe?sasa leo yanatokea wapi haya mengine?tatizo wanasiasa wetu wameshajua udhaifu wetu na wanautumia huohuo kutuchezesha watakavyo!mm naamini amesafishwa..lkn anahusika.
 
Back
Top Bottom