Ridhiwani: Tumeishi na RC Makonda vizuri ila kutajwa kwenye madawa, kama familia tunamwachia Mungu

Ridhiwani: Tumeishi na RC Makonda vizuri ila kutajwa kwenye madawa, kama familia tunamwachia Mungu

Huyu Dogo kwanza alitakiwa ashukuru..maana kwa sasa yupo huru kuliko kipindi chochote kutokana na hizi tuhuma..ikumbukwe ilishawahi kusemwa humu kuwa alikamatwa China na baba yake akiwa rais ndio alimuokoa asinyongwe kwa kuingia mikataba ya gesi na wachina..so amezungumzwa sana na kitendo cha kuitwa na kuambiwa hausiki ni hatua mpya ya maisha yake..au yeye alikuwa haoni tuhuma lukuki za madawa juu yake?? Inawezekana lisemwalo lipo
 
Kwa sababu,umetumia busara kuuliza nkujibu,lRidhiwan jina lke lilikuepo kwny ile orodha ya mwsho aliyojimasibu mpk watoto wa viongoz wamo ila majina hayakusomwa na orodha ya watuhumiwa ilikabidhiwa kwa commissioner wa kupambana na drigs
Huyu mtoto angeendelea kukaa kimya, maana ni kajizi ka hali ya juu alafu unajifanya innocent
149320_1381649999_3692.jpg
 
Ridhiwani aache ujinga,hakutajwa kwenye kashfa kushikwa na dawa china?mara ngapi katajwa kuuza dawa?kwa kuwa yeye ni nani asihojiwe na wakati tuhuma zake hata mtoto mdogo anajua.badala ya kumshukuru makonda kukusaidia angalau umeweza kujielezea hata kwa uongo kwa jamii eti familia ilikasirika....uachwe wewe nani?anaheshimiwa rais baba yako na mama yako tu au ulidhani na wewe umekuwa rais?yaani katika wote we ingebidi ndo wakulala jela....maana kasfa zako zilikuwa nyingi na zenye mshiko kuliko wote
 
Safi sana Mh Ridhwan!! Huundio muda muafaka kwa bavicha kukusafisha. Penyeza kwa kupitia kutokuridhishwa na hatua ya Mh Makonda. Naimani baraza kuu la chadema litakaa kutoa tamko kumlaani Makonda kumsingizia mtoto wa Rais mstaafu na mbunge wa chalinze.
Uliposema furaha yako kuwa sasa upo huru baada ya kuhojiwa na kamishina wa Madawa, na kukutwa hauna mawaa, wengi hawakukubari lakini leo kwa kupitia Makonda wanakuelewa sana. Bavicha ni taka na ni sabuni. Hujua kuchafua na hawachelewi kusafisha ni kuwajua tu. Wamejaa mitandaoni kuchafua watu. Tuikio la Lowasa ndilo lililo tambulisha udhaifu wao kuwa ni taasisi dhaifu na vigeugeu wasio na msingi wala itikadi inaowaongoza. Hivyo Mh Ridhwan usithubutu kuongea zuri la Makonda sasa hivi utanuka bure.
Bahati mbaya bavicha wamejaa mitandaoni na kwenye vijiwe vya bangi ndio maana kwenye chaguzi nyingi hawashindi
 
Nakumbuka Zitto alisema huyu Paulo ameanza na wasanii ataenda kwa wengine. Usemi wake una mantiki. Wanasiasa na wanahabari tayari 'wametembelewa' na Paulo.


Lema alisimulia tu ndoto aliyoota akaswekwa ndani miezi minne. Huyu aliyeenda na jeshi kuteka watu na kupora vitendea kazi vya watu kazini kwao anadunda uraiani. Kamanda Sirro anaendelea kumpigia Saluti tu!

Kipima joto cha ITV Ijumaa hii kitajadili kama kuna mtu hupo juu ya sheria. Huku ni kupoteza muda. Kwani kuna mtu asiyejua kwamba wapo watu wawili nchi hii wapo juu ya sheria? Nao ni Makonda na Mzee wake. Kama hawapo juu ya sheria wale wanaohakikisha hakuna aliye juu ya sheria wamemfanya nini Paulo kwa ujambazi aliofanya pale Clouds? Tusipotezeane muda kujadili mambo yaliyo wazi kabisa. Nani hajasikia wakuu wa wilaya na mikoa wanavyonyanyasa watumishi mbalimbali kwa kutumia jeshi la polisi?

Akina Dr Hellen Kijo Bisimba siku hizi wamejificha chini ya uvungu wa kitanda na kuwaacha mafahari mawili (Paulo na babaye) wakiunguruma mitaani. Wote kimyaaaaaaaaaaaaaaaa! Amebaki Tundu Lissu tu.
 
Wamepoozwa kwa Mama kuwa demoted kutoka kuwa First Lady hadi kuwa MBUNGE WA VITI MAALUM. MTU UMEKAA IKULU MIAKA KUMI BADALA YA KUKAA KWA HESHMA YAKO NYUMBANI KUTULIZANA NA FAMILIA, UNAKUJA KUPIGIZANA KELELE NA WABUNGE. THIS IS DEMOTION..!!!
 
We umejuaje

Mimi mwenyewe sijui Kama lipo lakini naamini linaweza kuwepo kwa sababu yeye Ridhiwani amesema amehojiwa na katika Yale majina ya mwanzo ambayo tuliyasikia na kuyaona la kwake halipo
 
mimi naona ni bora aliitwa akahojiwa na akaonekana msafi maana ukawa walimuandama sana kuhusu yeye kujihusiaha na uuzaji.
 
Kwa hiyo Chadema sasa mnaungana kusema kumbe Ridhiwan hauzi unga, mlikuwa mnamsingizia tu?
kwani Makao makuu yametoa press release kuwa ridhiwan kaonewa na makonda ama hao chadema umewaonea wapi??? hawa wa ID fake ndoo unahusisha na chadema???

nyie shida yenu mnafkiri kila anayekosoa serikali ni chadema kna kwamba ni lazma CCM wote wafanane mawazo na fikra!!!
 
Back
Top Bottom