SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Wewe umejuaje, au wewe ni Makonda?
Ni mkewe huyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umejuaje, au wewe ni Makonda?
Baada ya kuzuiwa, Rc alikabidhi kwa kamishna mpya.Kwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?
Kuwaelewa hawa watu inabidi ujitoe ufahamHivi nyie bavicha si mlikuwa mnasema jamaa anauza ngada na babake kuna mida alimwokoa uchina kwenye tundu la sindano, leo mbona hamsomeki??
Huyu mtoto angeendelea kukaa kimya, maana ni kajizi ka hali ya juu alafu unajifanya innocentKwa sababu,umetumia busara kuuliza nkujibu,lRidhiwan jina lke lilikuepo kwny ile orodha ya mwsho aliyojimasibu mpk watoto wa viongoz wamo ila majina hayakusomwa na orodha ya watuhumiwa ilikabidhiwa kwa commissioner wa kupambana na drigs
Alifurahia alipokua anafungwa kiatu? kijana alikuwa anatafuta pa kuingilia na kwa hali ilivyo sasa hatoki tena maana analindwa hadi na Makirikiri.Makond ni chatu waliyemfuga wenyewe,acha awameze,unga hamna
Sisi tunachochea kuni tu wapishi ni nyie.Leo hii chadema mnamtetea tena Ridhiwani? Seriously!
Wachina wakapewa ruksa kuuwa wanyama wetu....haki ya Mungu damu za hao wanyama iko juu yako na kizazi chako milele!Kwani ni mara ya kwanza kuhusishwa? China vp
nasikia list ya 3 alikuwemoKwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?
We umejuajeIle list ya majina ambayo haikutajwa hadharani aliyopewa anayehusika na hicho kitengo cha madawa ya kulevya pia jina lake halikuwepo?
We umejuaje
sasa nimeelewa kwa nini mama Salma Kikwete amepewa ubunge wa viti maalum..!
kwani Makao makuu yametoa press release kuwa ridhiwan kaonewa na makonda ama hao chadema umewaonea wapi??? hawa wa ID fake ndoo unahusisha na chadema???Kwa hiyo Chadema sasa mnaungana kusema kumbe Ridhiwan hauzi unga, mlikuwa mnamsingizia tu?