Ridhiwani: Tumeishi na RC Makonda vizuri ila kutajwa kwenye madawa, kama familia tunamwachia Mungu

Ridhiwani: Tumeishi na RC Makonda vizuri ila kutajwa kwenye madawa, kama familia tunamwachia Mungu

Kwenye orodha ya ******* Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo ******* anaingiaje?
6d4e251b22a431ebf4152d66fdc13cb1.jpg
 
Nayajua yote. By the way Ridhiwani aache kulialia. Tuhuma za yeye kuhusika na madawa ya kulevya zimeanza kitambo. Mnakumbuka ile ishu ya kule china? Hizi ni tuhuma za muda mrefu. Asianze kutafuta pa kutokea
Guilty is eating him alive, usifanye mchezo na Mola
 
Kwa sababu,umetumia busara kuuliza nkujibu,lRidhiwan jina lke lilikuepo kwny ile orodha ya mwsho aliyojimasibu mpk watoto wa viongoz wamo ila majina hayakusomwa na orodha ya watuhumiwa ilikabidhiwa kwa commissioner wa kupambana na drigs
Kuna mwingine alieitwa baada ya Ridhi One au watu 97 aliwawakilisha ridhiwani??
 
Makondaaa Bashiite ni kama nyoka, wakati mzee Kikwete anampaisha alidhani kapa kumbe kapatikana... Na isitoshe Makonder yaweza kuwa anaujua mchezo huu wa kina Ridhiwa vizuri, kaamua kuwachoma ili aendelee kupata mkate wake maana nje ya majungu dogo hana maisha.... Ila nafurahi sana anavyowatwanga... Mlifuga nyoka sasa anawadonoa. Big up makonder mzee wa fafafafafafafafafaf
 
Hawa jf nao wameingiwa na ukakasi gani!? yaani njina Ma- konda wanaliogopa kama ukoma Makonda- Bashite.
 
]Mkuu hiyo ' drigs ' ni aina mpya ya dawa za kulevya au?[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Pole Mh Ridhiwani kama ulikuwa hujihusishi na biashara hiyo Mungu akutangulie kusamehe na kusahau
 
Jamani huyu mtu alieleza kufurahishwa na jambo hili lakuitwa kwakuwa limemsafisha,amekuwa akisemwa mda mrefu sana.sasa analaum tena kuitwa.sasa sielewi hii dunia tuliandaliwa sis kwel!,nnashaka,labda we could live somewhere else
 
vita gani ya Mungu??? huyo makonda anakesha kwa waganga afu ndo wamhusisha na Mungu r u serious??? Mungu anafurahia kuwataja watu wasio na hatia au bila ushahidi afu ukawachafua hadharani ''the case of gwajima and the 65???'' eti hicho ndo Mungu anataka???
Ni Ya Mungu and time will tell! Walitaka kuuza nchi hao! Mwenye Enzi Mungu akatunusuru! If you don't see that big picture, umeamua mwenyewe!
 
Huyu Dogo kwanza alitakiwa ashukuru..maana kwa sasa yupo huru kuliko kipindi chochote kutokana na hizi tuhuma..ikumbukwe ilishawahi kusemwa humu kuwa alikamatwa China na baba yake akiwa rais ndio alimuokoa asinyongwe kwa kuingia mikataba ya gesi na wachina..so amezungumzwa sana na kitendo cha kuitwa na kuambiwa hausiki ni hatua mpya ya maisha yake..au yeye alikuwa haoni tuhuma lukuki za madawa juu yake?? Inawezekana lisemwalo lipo
Wangemwacha China tu huyo!
 
Back
Top Bottom