Malaika Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 902
- 909
Kwenye orodha ya ******* Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo ******* anaingiaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye orodha ya ******* Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo ******* anaingiaje?
Lizaboni bishana na vGAZETI
Guilty is eating him alive, usifanye mchezo na MolaNayajua yote. By the way Ridhiwani aache kulialia. Tuhuma za yeye kuhusika na madawa ya kulevya zimeanza kitambo. Mnakumbuka ile ishu ya kule china? Hizi ni tuhuma za muda mrefu. Asianze kutafuta pa kutokea
Kuna mwingine alieitwa baada ya Ridhi One au watu 97 aliwawakilisha ridhiwani??Kwa sababu,umetumia busara kuuliza nkujibu,lRidhiwan jina lke lilikuepo kwny ile orodha ya mwsho aliyojimasibu mpk watoto wa viongoz wamo ila majina hayakusomwa na orodha ya watuhumiwa ilikabidhiwa kwa commissioner wa kupambana na drigs
Kwenye ile list ya mwisho paul makondaa alimpatia kamishina wa tume ya madawaKwenye orodha ya ******* Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo ******* anaingiaje?
Mbona jina la huyu msen.ge linakuwa nyota nyota kama nimeandika tusi vile*******
Ni Ya Mungu and time will tell! Walitaka kuuza nchi hao! Mwenye Enzi Mungu akatunusuru! If you don't see that big picture, umeamua mwenyewe!vita gani ya Mungu??? huyo makonda anakesha kwa waganga afu ndo wamhusisha na Mungu r u serious??? Mungu anafurahia kuwataja watu wasio na hatia au bila ushahidi afu ukawachafua hadharani ''the case of gwajima and the 65???'' eti hicho ndo Mungu anataka???
Wangemwacha China tu huyo!Huyu Dogo kwanza alitakiwa ashukuru..maana kwa sasa yupo huru kuliko kipindi chochote kutokana na hizi tuhuma..ikumbukwe ilishawahi kusemwa humu kuwa alikamatwa China na baba yake akiwa rais ndio alimuokoa asinyongwe kwa kuingia mikataba ya gesi na wachina..so amezungumzwa sana na kitendo cha kuitwa na kuambiwa hausiki ni hatua mpya ya maisha yake..au yeye alikuwa haoni tuhuma lukuki za madawa juu yake?? Inawezekana lisemwalo lipo