Ridhwani: Jakaya Kikwete yupo salama wa afya nyingi, hana tatizo la kiafya

Poleni kwa taharuki. Mipango ya Mungu mwanasa mu hawezi shindana nayo.
 
ALIENDA KUTIBU TEZI DUME AMA ALIENDA KUMNYOOSHA RIHANNA NA KUFUKIZA UVUNDO WA ESCROW ILI MLISAHAU HILO?
 
Kwanini unalazimisha taarifa iwe mbaya, acha roho ya kifa...la kima wewe
Sikuizi tumeanza kupangiana kitu cha kucomment humu sio? Kibaya zaidi unanitusi, kama hukubaliani na hoja yangu kwanini usipite uchi?

Kima ni mzazi wako wa kike, either awe hai au awe kuzimu yeye ni ki.ma wa ma..kima
 
Ukitaka kujua tayari au bado wewe pita kurasini polisi sa nne nne hivi, ukiona jamaa wanafanya mazoezi nyimbo za maombolezo ujue tayari.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Sikuizi tumeanza kupangiana kitu cha kucomment humu sio? Kibaya zaidi unanitusi, kama hukubaliani na hoja yangu kwanini usipite uchi?

Kima ni mzazi wako wa kike, either awe hai au awe kuzimu yeye ni ki.ma wa ma..kima
Unateseka ukiwa wapi..?
 
Kwa utawala wa kwendazake hata ingekuwa wewe ungediriki kunyanyua mdomo na kusema eti anaumwa?ili akitoka hospitali aje akuzodoe mbele ya kadamnasi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…