Ridhwani Kikwete awe Rais baada ya Rais Samia

Lady Mwali

Senior Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
147
Reaction score
333
Kutokana na uzalendo, uadilifu, unyenyekevu, ucha Mungu na mapenzi yake kwa Watanzania basi mtoto huyu wa Rais anafaa kuwa raisi wa Jamhuri ya Muungano.

Rais Samia naomba mkumbuke hata kwa kumpa uwaziri wa michezo kwani kijana huyu anauwezo mkubwa wa kuongoza.

Imewezekana vipi kwa Huseni Mwinyi kuwa Rais wa Zanzibar na Ridhwani asiwe Rais wa JMT?

Nakushauri Kaka yangu Ridhwani usibaki nyuma, ukifika muda wa kuchukua fomu nenda kachukue.Usiogope, huna mambo mengi. Wewe sio kama vihelehele akina Polepole ingawa baba yako alikuwa Rais wa nchi hii.

Vijana wote tuko nyuma yako,
wewe ni muadilifu kama baba
yako Jakaya Kikwete.
 
Kutokana na uzalendo, uadilifu, unyenyekevu, ucha Mungu na mapenzi yake kwa Watanzania basi mtoto huyu wa Rais anafaa kuwa raisi wa Jamhuri ya Muungano.

Mama Samia naomba mkumbuke hata kwa kumpa uwaziri wa michezo kwani kijana huyu anauwezo mkubwa wa kuongoza.

Imewezekana vipi kwa Huseni Mwinyi kuwa Rais wa Zanzibar na Ridhwani asiwe Rais wa JMT?

Nakushauri Kaka yangu Ridhwani usibaki nyuma, ukifika muda wa kuchukua fomu nenda kachukue.Usiogope, huna mambo mengi.Wewe sio kama vihelehele akina Polepole ingawa baba yako alikuwa Rais wa nchi hii.

Vijana wote tuko nyuma yako,
wewe ni muadilifu kama baba
yako Jakaya Kikwete.
Labda raisi wa wakwere
 
Tanzania haijawahi kuwa na Rebel Leader ( Muasi wa Kivita ) au War Lord ( Mbabe wa Kivita ), ila GENTAMYCINE nakuhakikishia na nawataarifuni mapema tu kuwa Ridhiwani Kikwete au Paul Makonda wakiwa Marais nchi hii hawatadumu, nitawatesa na Kuwasumbua mno Kivita kwani nina nchi Mbili najua zitanipa 'Sapoti' ya kuwa 'Muasi' na hawatodumu Ikulu.
 
Kutokana na uzalendo, uadilifu, unyenyekevu, ucha Mungu na mapenzi yake kwa Watanzania basi mtoto huyu wa Rais anafaa kuwa raisi wa Jamhuri ya Muungano.

Mama Samia naomba mkumbuke hata kwa kumpa uwaziri wa michezo kwani kijana huyu anauwezo mkubwa wa kuongoza.

Imewezekana vipi kwa Huseni Mwinyi kuwa Rais wa Zanzibar na Ridhwani asiwe Rais wa JMT?

Nakushauri Kaka yangu Ridhwani usibaki nyuma, ukifika muda wa kuchukua fomu nenda kachukue.Usiogope, huna mambo mengi.Wewe sio kama vihelehele akina Polepole ingawa baba yako alikuwa Rais wa nchi hii.

Vijana wote tuko nyuma yako,
wewe ni muadilifu kama baba
yako Jakaya Kikwete.
Wacha ujinga huo fanya mambo maana. Nani kakuambia kuwa Ridhiwani ana uwezo wa uongozi? Ubunge wenyewe ni baba yake anamsimamia
 
Kutokana na uzalendo, uadilifu, unyenyekevu, ucha Mungu na mapenzi yake kwa Watanzania basi mtoto huyu wa Rais anafaa kuwa raisi wa Jamhuri ya Muungano.

Mama Samia naomba mkumbuke hata kwa kumpa uwaziri wa michezo kwani kijana huyu anauwezo mkubwa wa kuongoza.

Imewezekana vipi kwa Huseni Mwinyi kuwa Rais wa Zanzibar na Ridhwani asiwe Rais wa JMT?

Nakushauri Kaka yangu Ridhwani usibaki nyuma, ukifika muda wa kuchukua fomu nenda kachukue.Usiogope, huna mambo mengi.Wewe sio kama vihelehele akina Polepole ingawa baba yako alikuwa Rais wa nchi hii.

Vijana wote tuko nyuma yako,
wewe ni muadilifu kama baba
yako Jakaya Kikwete.

ridhwani rais wa tanzania naibu rais fatma karume waziri mkuu maria sarungi. chid benz waziri wa michezo nchi itakuwa zaidi ya dubai sindio hivyo wajameni
 
Back
Top Bottom