Ridhwani Kikwete awe Rais baada ya Rais Samia

Ridhwani Kikwete awe Rais baada ya Rais Samia

Naona process imeanza tayari

Jiulize amewahi kufanya nini cha maana, kuongea nini cha maana. Kusaidia vipi hii nchi kwa chochote, lolote zaidi ya kutembea na kupigwa picha za kipuuzi.

Ubunge amepewa yeye na Mama Salma.

Ikulu chini ya JK ilikuwa sehemu ya kupiga dili kwa Salma na Ritz1.

Wapambe walitawala, wamerudi.
 
Lisemwalo lilikuwa halipo,.amini usiamini sasa lipo,
Silipendi hilo li mama lenu [emoji855]
Nyie endeleeni kujigonga tu eti , " mamaa, mamaa, mamaa"!????
Kwa haya ? Hata bila aibu? Bado mama tu!!!!!
 
Kutokana na uzalendo, uadilifu, unyenyekevu, ucha Mungu na mapenzi yake kwa Watanzania basi mtoto huyu wa Rais anafaa kuwa raisi wa Jamhuri ya Muungano.

Rais Samia naomba mkumbuke hata kwa kumpa uwaziri wa michezo kwani kijana huyu anauwezo mkubwa wa kuongoza.

Imewezekana vipi kwa Huseni Mwinyi kuwa Rais wa Zanzibar na Ridhwani asiwe Rais wa JMT?

Nakushauri Kaka yangu Ridhwani usibaki nyuma, ukifika muda wa kuchukua fomu nenda kachukue.Usiogope, huna mambo mengi. Wewe sio kama vihelehele akina Polepole ingawa baba yako alikuwa Rais wa nchi hii.

Vijana wote tuko nyuma yako,
wewe ni muadilifu kama baba
yako Jakaya Kikwete.
Akutukanaye ha kuchagulii tusi!! Hili ni tusi kubwa kwa nchi yetu !
 
Huyu hakutakiwa hata kuwa Mwenyekiti wa mtaa, anatembelea Nyota ya Mzee wake.
 
Back
Top Bottom