Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Huo uasi nenda kafanye kwenye ukoo wenu kwa nchi hii ya TZ utachemka.Tanzania haijawahi kuwa na Rebel Leader ( Muasi wa Kivita ) au War Lord ( Mbabe wa Kivita ), ila GENTAMYCINE nakuhakikishia na nawataarifuni mapema tu kuwa Ridhiwani Kikwete au Paul Makonda wakiwa Marais nchi hii hawatadumu, nitawatesa na Kuwasumbua mno Kivita kwani nina nchi Mbili najua zitanipa 'Sapoti' ya kuwa 'Muasi' na hawatodumu Ikulu.
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app