Ridhwani Kikwete awe Rais baada ya Rais Samia

Hata akiwa mfalme fresh tu ila remember arab uprise...inaanzaga hiv hiv..ull neva fool people all the time...theres a day
 
Uchawa sasa umekuwa Ajira kamili , Steve Nyerere ni mfano halisi .

Vijana endeleeni kujipigia hela za mabwege
 
Peleka ujinga wako huko,Tanzania sio ya kutawaliwa kiukoo,njaa mbaya sana inavua utu,njaa yako italufanya uolewe na mtu usiyempenda
 
Kama ukitaka tuanike uovu wake hapa umefeli. Uovu wake tunaujua na tutauanika siki. Ikifika
 
Kama ni mzalendo basi Mpeni uongozi au uchifu wa ukoo wenu hapo msoga
Bado tu mnataka kutujazia viongozi mazuzu
 
Mcha Mungu ni Mungu gani unayemzungumzia hapa?
 
acha uharibifu
muda bado
usijisahaulishe inafata zamu ya wakristo
 
Tena awe rais bila kura maana anaweza pata7 mwadilifu Kama babake mambo ya escrow,kagoda yarudi Tena nchi isonge nyuma.ccm oyeerrr
 
Sawa

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Imewezekana vipi kwa Huseni Mwinyi kuwa Rais wa Zanzibar na Ridhwani asiwe Rais wa JMT?.....Ujinga wako ulianzia hapo....

Mbona hujataja let's say Makongoro Nyerere et al, au kwakuwa watoto wa mkapa na magufuli hukuweza kuwasikia wakiwa wabunge na mawaziri wa fadhra

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Acheni kujibu kwa kashfa...kwani Riz1 kawakosea nini? Kwani hana haki ya kuwa Rais?

Mnataka nani badala yake? Tunataka damu changa...hatutaki rais mshamba
 
Hii nchi jimbo lenyewe limemshinda sembuse nchi! Acha kuingiza nchi katika shida maana watakuwa wanachota kama wapo shambani.
 
Acha utani ndugu huyo hata uwaziri tuu hafai
 
Nonsense
Tz si nchi ya ukoo fulani
Hana uwezo charisma ni mt.. pu sana kwa mti...ma
Atauza nchi na wananchi kwa wenye macho madogo
Tusiendelee kuilaani nchi kwa kuwa na walafi kuliko viongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…