Ridhwani Kikwete awe Rais baada ya Rais Samia

Huo uasi nenda kafanye kwenye ukoo wenu kwa nchi hii ya TZ utachemka.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
umeshaanza kudanga sasa. Tuliza wezere hilo.
 
🀣
🀣 🀣 🀣 🀣

Kweli nilisikia Utubu akielezea wasifu wake. Anajua kufunga scaff za CCM. CCM waone uwezekano wa hii sifa ya kufunga scaff ikiwezekana iongezwe kwenye kigezo cha wagombea uongozi ndani ya CCM mwakani kumuenzi mkt wao mstaafu wa Jumuiya ya Wazazi.
 
imekwisha hiyo

na waziri mkuu awe Makongoro,maana Mwigulu,Kigwangalla,Gambo,Bashite wameshapoteana mazima
 
TE="Kukakuona, post: 41131625, member: 657324"]
Hao ndiyo Chawa wa Tanzania,wanaopiga kura Kwa wali,kofia na kanga.Tunasafari ndefu sana
[/QUOTE]

Ulisahau bia Na paketi ya sigara kali
 
nchi hii kuna watu viazi kwel kwel iv hii nchi n nchi ya kifalme au vp khaaaa umeongea pumba tupu
 
hii tabia kunywa kunywa pombe za ofa mchana ni mbaya....usirudie tena
 
Nonsense
 
Ni kwanini Bomba la Gesi ya Mtwara ime angalia Dar pekee? Badala yakuja Katikati ya Nchi?
 
WAZO LAKO NI WAZO HURU PIA KUONYESHA MAPENZI AU MAHABA KWA MTU SI VIBAYA, VIBAYA NIKUONYESHA UJINGA WAKO KWA WATU WENGINE NA KUTAKA KUWAAMINISHA HUO SI UJINGA.
 
Tayari mmeanza tena 🀣🀣🀣🀣
 
Jina lako lenyewe ni lady mwali, basi tumeshakuelewa. πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’
 
Mateja kigakeleleeeeeeeeeee
Wauza ngada pigaaaaakeleeeeeeee
Wafilaji piga keleleeeeee
Mabasha na mashoga pigaaakeleleee
Mafisadi piga keleleee
 
U
Una kichaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…