Ridhwani Kikwete awe Rais baada ya Rais Samia

Kijana kwa nini ukubali kukaa nyuma ya mtu??
Kachukue akili zako, tafadhali!!
 
sawa Miraji kikwete tumekuelewa.

Mwambie mdogo wako akaanze kufanya kazi ya Kuwa Liwali kwanza kama alivyokuwa babu yenu!! Baba yenu alijitahidi hata kwenda Misri kwa Mubarak kwenda kujifunza mbinu za kuwarithisha madaraka lakini akashindwa kwani watoto wenyewe ni viazi!! Endeleeni na biashara yenu ya ngada.
 
Ili ujengwe msikiti pale ikulu eti .
 
Mse.nge nini

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Kwanini usichukue wewe hiyo form ya kugombea?
 
Nchii hii sio ya ukoo
 
Wachina si wameshapewa bandari ya bagamoyo waliahidiwa na baba yake, kwani wanataka nini tena? Kama wanataka zaidi basi wapewe yeye mwenyewe ili wamfanye wanavyotaka!
🤣🤣🤣🤣🤣
Inawezekana mzigo ulikuwa mkubwa, bandari peke yake haitoshi.
Msoga hawezi kumutoa kafara,Labda awatoe kafara Watanzania.
 
Kwa Tanzania hii ya ubishi wa simba na yanga?
Mkuu utabaki mwenyewe tu. Nchi ya hovyo sana hii.
Kuna watu mpaka leo wanamuona sabaya kama shujaa?
Unaweza usiamini lakini ndiyo hivyo
 
Mwanaasha tumekusikia ukimpigia kaka yako debe

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Wachina si wameshapewa bandari ya bagamoyo waliahidiwa na baba yake, kwani wanataka nini tena? Kama wanataka zaidi basi wapewe yeye mwenyewe ili wamfanye wanavyotaka!


Atapewa cheo zaidi kumlinda, atakuwa Waziri kamili, just in case dili la Bandari ya Bagamoyo halitafanikiwa Wachina wakaomba Extradiction.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…