Ridhwani Kikwete awe Rais baada ya Rais Samia

Naona process imeanza tayari

Jiulize amewahi kufanya nini cha maana, kuongea nini cha maana. Kusaidia vipi hii nchi kwa chochote, lolote zaidi ya kutembea na kupigwa picha za kipuuzi.

Ubunge amepewa yeye na Mama Salma.

Ikulu chini ya JK ilikuwa sehemu ya kupiga dili kwa Salma na Ritz1.

Wapambe walitawala, wamerudi.
 
Lisemwalo lilikuwa halipo,.amini usiamini sasa lipo,
Silipendi hilo li mama lenu [emoji855]
Nyie endeleeni kujigonga tu eti , " mamaa, mamaa, mamaa"!????
Kwa haya ? Hata bila aibu? Bado mama tu!!!!!
 
Akutukanaye ha kuchagulii tusi!! Hili ni tusi kubwa kwa nchi yetu !
 
Huyu hakutakiwa hata kuwa Mwenyekiti wa mtaa, anatembelea Nyota ya Mzee wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…