Tetesi: Rihanna na Asap Rocky wameachana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Watoto wa kukataliwa wanajuaga kufanana na baba zao sijui kwa nini yani
 

Kivipi anajifanya sio wake? Wanawake wa marekan wazae na Jayz wakae kimya
 
Kama offset na cardi
 
Wamarekani wa Buza sijui mtakuja kufuta comments zenu humu??

Mtu kufuta picha za mtu wake haimaanishi wameachana.

Any way nendeni tu mkaendelee kumshambulia mume wa Maunda zoro maana huku kwa Rihana na Asap mlijiingiza chaka mapenzi bado ya moto.
 
Rihanna sahv Yuko na Miaka 34.
Kwa mwanamke hujapata hata mimba ya kusingizia inaleta Sana stress
Wasanii wa kike wa mbele walivyo busy kupiga hela under 30, mbona 34 kawaida. Kafuatilie Janeth Jackson, Mariah carey, katy Perry au naomi Campbell walipata watoto kwa age gani
 


Mume wa Maunda anaitwa nani nikasome comments za malaika wa mitandaoni nicheke?
 
Yan yule Bilionea wa kiarabu tu ndio alikua sahihi kwake jamaa angemuoa hao wengine wahuni tu!
Hata mi niliona hivyo aisee ila riri nahisi ana attitude thou sipendi iwe kweli
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bey kwa jigga hajiwezi kafa kaoza mnooo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila couple ya Asap na Riri mie naipenda kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…