mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,514
- 4,042
Alikuwa msaidizi wa Ofisi ya Mbunge wa Chalinze.Ndio nani?
Ni kada wa CCMNdio nani?
😭😭😭😭Lete habari zaidi ili tumfahamu.
Na alitumia ID ipi Jf.
RIP Mtweve.
Hakika Bado kijana mdogo Yaani 😭😭😭😭Duuh, gone to soon.
Pumzika kwa amani Mtweve!
Kitu Gani😭😭Kuna kitu ningesema ila ngoja nitumie hekima