Anayejiita askofu ana kanisa?hivi unajuwa kwanini aliamuwa kutumia jina la kiislam katika mizunguko yake ya madawa?
Ngoma Pakistani...
Namsubiri sana Mh.Idd Azzan(mb) jimbo la kinondoni kupitia CCM aitishe press conference tumsikilize na tupime hoja zake,nina iman ni mtu makini atajibu hizi allegations
Hivi ninyi akina nani hii....kama sio CHADEMA, haya madudu na uhalifu WOTE si mngeendelea kuuficha kama ulivyo utamaduni wenu. In fact by implication you're hereby perpetuating your "ordained culture".Mwanakijiji ni mwanaharakati wa chadema.
Umeichambua vizuri hiyo barua lakini ulipoingiza mambo ya CHADEMA na CCM uchambuzi wako umekosa nguvu, kama suala la polisi kuwasumbua vyama vya siasa hawajaanza leo mbona haujawasema CUF wewe na CHADEMA tu.
Swali la kujiuliza, kama dege la kijeshi liliingia anga ya nchi yetu na kutua ili kuwachukua wanyama wakubwa kama Twiga, tupo salama kweli? Kumbuka ni dege la kijeshi la nchi nyingine tena ya mbali.
Pili, dege hilo lililokuja kuchukua wanyama tuna uhakika gani kama halikupakua mzigo wa madawa ya kulevya kama sehemu ya biashara? Na ilishindikanje endapo halikujulikana limeingieaje nchini.
Tatu, gunia na nusu la madawa lipitaje uwanja wa ndege ili hali kuingiza laptop tu inakuwa nongwa?
Kilo 160 kupitia uwanja wa ndege! je nchi ipo salama.
Ricin ni sumu ya mbegu inayoweza kuua(lethal dose is 20-30 mg) kumbuka 1 Kg is 1000mg.
Gunia moja na nusu linaweza kupita uwanja wa ndege, nini kinashindikana kupitisha robo kilo ya ricin yenye lethal dose 25 kupita uwanja huo huo ulioweza kupitisha Kg 160.
Nchi ipo salama kweli?
Inaonekana una uzoefu kwa vile na wewe ulikwishadakwa huko tehe!! tehe! tehe!!Labda ujanielewa vizuri, wala sijakuambia ukiwekwa kwenye mafungu kadhaa itakuwa ngumu kukamatwa.
Wanachofanya ni kununua kilo inategemea na shirika gani la ndege, mashirika mengine mwisho kuuza kilo ni kilo 60, mengine wanauza mpaka kilo 200.
Na katika kufunga mzigo wako box lisizidi kilo 30, kama umenunua kilo 150 funga box/begi, kila 30 kila moja hauwezi kwenda na kilo 150 umeifunga sehemu moja labda kwenye ndege za mizigo lakini siyo za abiria na hawa wauza sembe wanapanda ndege za abiria wanasafiri na mizigo yao.
Ki ukweli sasa hivi ukiingia China au Hong Kong unachekiwa mpaka kero, Hong Kong ndiyo noma zaidi na hivi pale hakuna viza watanzania tunaingia tu.
Lazima wakuhoji wakiona passport ya Tanzania na wanakuweka pembeni wakiwa na wasiwasi wanakuingiza chumbani wanakupa na chai au kahawa huku wanakuangalia kwenye camera, hauwezi kunywa chai au kahawa wakati umebeba sembe, lazima wakumalize.
China wao wakihisi kama umebeba sembe kuna maji yao wanakuambia kunywa haya maji lakini kama umemeza sembe utapata matatizo, kama haujabeba hauwezi kupata madhara kama umebeba utajuta.
Mkuu bofya hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...na-madawa-ya-kulevya-hong-kong-wafunguka.html utaipata
Thank you, I meant thatMkuu 1kg ni 1000grams,sio 1000mg!Milligram(mg) ni kipimo kidogo mno cha uzito.
1mg = 0.001grams or 1g =1000mg,
Na pia namsubiria sana Philip Marmo naye aongee kuhusu wafungwa kule Hong Kong pamoja na Watanzania walionyongwa kule China...........
Ishu ya Ali Kiba imeishia wapi?
Madawa ya kulevya hayana dini lakini Tanzania wameshashikwa wachungaji na dunia Kanisa katoliki lina kashfa na Vatican wana kashfa chungu nzima za madawa ya kulvya, kulawiti watoto, kulawitiwa mapadre. Yote huyajui au unatetea kwa kuwa ni mmoja wao?
Wewe endelea kumdanganya Mzee Mwanakijiji, na wengine ambao hauijui Dar.
Wakati Kikwete anagombea urais huyo Beka rangers alikuwa dalali wa magari tu pale mapipa, eti alimchangia JK, teh teh teh.
Kwa matajiri wa Magomeni hata 1000 bora hayumo.
Na ilikuwa hivi alimeza
kete za kutosha kusafirisha toka SA kuja bongo kwa bahati mbaya ndege aliyokuwa kapanga
kuondoka nayo ikahairisha safari. Hivyo mzigo ukaanza kumtesa na kufikia hatua ya
kumpasukia ndani ya tumbo na si kuwa alizidisha kiasi cha dawa za kulevya katika matumizi. Ninayo clip inamuonyesha jinsi anavyopasuliwa na kutolewa madawa hayo tumboni. Nasema tena clip ipo MOD nasema ninachokijua
plz usifute