Ripoti Maalum: Kutajwa kwa Vyombo vya Usalama na Wengine kwenye Madawa ya Kulevya ni Mtego kwa JK

Status
Not open for further replies.
Naanza kuhofia Utanzania wangu kama na wenyewe upo salama? Mnaofanya biashara ya kwenda China while passport zenu zikionesha nyie ni Watanzania, hivi Airport za huko hua mnasachiwaje? Nahisi jamaa watakua wanawaona wote ni drug dealers tu!
 
Mexico wameendelea kwa kuuza sembe hapa ihalalishwee ru isaidie ajira kwa vijana
 
Kama mwanae asingekuwa anajihusisha na hii Biashara angeweza kulifanyia kazi. Hapa MMJ usitarajie kuchukuliwa hatua yoyote. Hawezi kuumeza mfupa huu utamkwama kwenye koromeo. Namshauri auchune tu kama anavyofanya maana atajivua nguo

 

Tufanye nini???? Kwanza ni muhimu watanzania tukajitahidi kubebana ili walao sisi wenye uwezo tuongeze ajira kwa kuanza shughuli nyingi za ki uchumi. Heri walioajiri vijana wengi maana wanawaokoa na janga hilo na Mungu atawalipa mara mia. Si rahisi kwa serikali kuchukua hatua madhubuti HATA Hivyo, sisi wenye imani Tunamhitaji Mungu kipindi hiki kuliko kipindi kingine chochete na Kwa IMANI Tutashinda.

Anayeuwa kwa upanga ATAKUFA Kwa upanga. Kwa sala hii ya leo, kwa kwa maombi ya wenzetu mnaofunga kipindi hiki, tunuize na tumuombe Mungu rasmi awaumbue wote bila kujali wadhifa wala naafasi serikalini. Kwa maombezi ya Mitume wote, maombi ya wazee wetu waliotangulia kwa Mola, wote wenye mapenzi mema, tusali sana na tujiweke ktk naafasi ya roho hizo zaidi ya 200 zinazoteseka huko. Mungu awahurumie watoto wa hao wanaotenda dhambi hii kubwa kwani ni kawaida watoto wao wakalaanika pia bila hatia. Tuwaombee wote, tusiwalaani kwani watapata kipigo kikubwa mno kabla ya mwaka huu kwisha.

Ili tufanikiwe kwa imani, tunahitaji vitu vitatu: -

1. Kufunga.
2. Kusali/Kuomba/Maombi
3.Tutoe ZAKA na SADAKA ili kusindikizia maombi hayo

Hayo matatu humpendeza Mungu na ni KIPIGIO Cha Shetani. Hakika huu ni mwanzo, na WATAAIBIKA KABLA MWAKA HAUJAISHA KWA JINA LA YESU.


 

Wacha unguchiro wako, mwambie aachie ngazi kazi imemshinda, alifikiri ni kucheza mdundiko.
 
Zitafute majina umepewa acha uvivu.
Wewe mbumbumbu nyunzo hao ni watu hatari, it is most unlikely wakaweka picha zao ktk social media. Wanajamvi these folks are public enemies, mwenye picha zao plz
 
Wacha unguchiro wako, mwambie aachie ngazi kazi imemshinda, alifikiri ni kucheza mdundiko.

Mkikosa hoja mnaanza viroja. Kuna aliyeweza kuibadilisha nchi hii toka maskini wa mwisho mpaka kuwa kipenzi cha dunia zaidi ya Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete?
 
Mkikosa hoja mnaanza viroja. Kuna aliyeweza kuibadilisha nchi hii toka maskini wa mwisho mpaka kuwa kipenzi cha dunia zaidi ya Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete?

Hapo ndipo upeo wako ulipoishia, God help us.
 
Mkikosa hoja mnaanza viroja. Kuna aliyeweza kuibadilisha nchi hii toka maskini wa mwisho mpaka kuwa kipenzi cha dunia zaidi ya Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete?

Umerudi kwa kasi kama mzibua vinyesi
 
Mkikosa hoja mnaanza viroja. Kuna aliyeweza kuibadilisha nchi hii toka maskini wa mwisho mpaka kuwa kipenzi cha dunia zaidi ya Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete?







Ni kweli FaizaFoxy, hamna kama Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete!
​
 
Wewe mbumbumbu nyunzo hao ni watu hatari, it is most unlikely wakaweka picha zao ktk social media. Wanajamvi these folks are public enemies, mwenye picha zao plz

Watanzania wengi wavivu sana kuanzia rais mpaka wewe
 
Watu hawa tunaishi nao uko mitaani, mabadiliko ni mimi na wewe. Polisi waliambiwa pigeni sasa na sisi tuwapige polisi kwanza huko tunakoishi nao kisha tuwapige na hawa wanaotiharibia vijana wetu. Ipo siku ntasema KWANINI SIIPENDI CCM.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…