Ripoti Maalum: Kutajwa kwa Vyombo vya Usalama na Wengine kwenye Madawa ya Kulevya ni Mtego kwa JK

Status
Not open for further replies.
Naanza kuhofia Utanzania wangu kama na wenyewe upo salama? Mnaofanya biashara ya kwenda China while passport zenu zikionesha nyie ni Watanzania, hivi Airport za huko hua mnasachiwaje? Nahisi jamaa watakua wanawaona wote ni drug dealers tu!
http://www.v2catholic.com/johnw/2013/2013-07-21drug-mules.htm
Hiyo story ni kweli. Original hiyo hapo. Vigogo hawakwepi.
 
Issue ya Ritz ilihitaji ufafanuzi ili wadau waelewe wanadeal na mtu wa namna gani.

Kikwete, Usalama wa Taifa, polisi na wanaCCM wenye akili kama zako wanahangaika na CHADEMA lakini hili la madawa ya kulevya halionyeshi kuwashughulisha kabisa!! Hiyo ndiyo hoja ya MM!! Why?
 
Tueekeeni picha za hao Wauza unga please
Inabidi sheria za umoja wa mataifa wafunge uwanja huu wa ndege sababu, mtu akiweza kusaidiwa ku bypass security body screening, si wanaweza kuwasaidia waarabu kupitisha mabomu na kuingiza kwenye ndege?? Hili sio taifa langu tena. Kwa yeyote asafiriye kutoka Tanzania kuweni makini sana.
Nina uhakika hizi story zikijulikana Ulaya, utalii umekwisha Tanzania. Hamna atakayerisk maisha yake. Na sasa hivi biashara hiyo imehamia Kenya.
Yaani juzi nilitokea Jomo Kenyatta international airport kwenda Armsterdam na KLM...huwezi amini. Hilo dege kubwa sana kuliko inayokuja bongo limejaa watalii. Na niliambiwa ni kila siku.
Hapa nyumbani bwana fast jet na Said Mwema wako busy na kuharibu mkoa wa Arusha kwa mabomu na sasa airport. Hivi fast jet ana washauri??
Mbona hata watoto wadogo wana akili timamu?anajua maana ya hivi vitu? Yaani uhuru tuloupata miaka 50 ilopita na misingi yake, anaviharibu kwa miaka kumi?
 
Kwenyeswala la sembenitamtetea Rais as Jk,analipinga sanaaaaaa.watu wa karibu wanajua hata hao warendaji wake,sema tu kazidiwa kete n watendaji muhimu.wauza unga hawampendi kabisa kikwete,mengine yote yase,we lakii sio huku.

Mbona unajikanyaga kanyaga hueleweki hata ulichoandika? Au na wewe ni punda?
 
Uchambuzi wako una uharibu ukianza kukipigia chama chako chadema kampeni.

Na ni lazima udhaifu huu hovyo kabisa kuwahi kutokea ktk historia ya nchi hii chini ya serikali ya CCM uwapige chini!!..Au mkuu umesahau kuwa POLITICAL IS A GAME OF CHANCE?...Au umesahau kuwa katika siasa wapinzani wako wanatumia udhaifu wako, makosa yako ya KISERA, MIPANGO na KIUTAWALA kukumaliza??

Mimi sijui MM ni mpenzi/mwanachama wa chama gani, lakini inawezekana anacho anachokifagilia kama ambavyo wewe unacho (pengine). Lakini kwa haraka haraka ndani ya uchambuzi kimetajwa CHADEMA tu ukatekekenyeka na kuwashwa. Na hii ni kusema kuwa wewe ni lazima utakuwa ni m - CCM

Ushauri wangu kwako na CCM wote na serikali yenu ni huu; kwamba you have all the power, you have all the weapons to fight against these drug dealers. Why don't you do this at least ili CHADEMA wakose cha kusema (kama tu hamtaki CHADEMA isemwe au iandikwe popote)?..Hii itakuwa ni turning point ya kuisifu serikali/CCM

If you don't take this piece of advise (najua na wengine wengi wanajua kuwa kamwe wauza UNGA wenyewe hawawezi kujikamata na kujishtaki akiwemo Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi na Rais wa Tz Jakaya Kikwete......kwani alisha sema anawajua waunza unga kwa majina na kisha kuwapa nafasi ya kujirekebisha na ndiyo kusema kwamba mwenye ushahidi wa uhalifu halafu akawa ameukalia ushahidi huo, basi na yeye pia ni MHALIFU tu)

NI WAZI KUWA MATATIZO HAYA HAYAWEZI KUONDOLEWA NA KIWANGO CHA AKILI ZA WATU WALEWALE(CCM) WALIYOYATENGENEZA!!
 
Ccm ni chaguo la mungu na hakuna kama kikwete,hii ndio zawadi ya wapumbavu kuongozwa na wapiga dili aka wauza unga wa ccm
 
U either die or follow the order..."there is no sucess wothout crime the bigget the crime,the bigger the sucess."
 
nyie nao yaani mmepewa majina yakuanza nayo bado mnataka mpewe mengine? Anzeni na hiyo list kwanza mkimaliza ndo mfuate inayofuatia
 
nyie nao yaani mmepewa majina yakuanza nayo bado mnataka mpewe mengine? Anzeni na hiyo list kwanza mkimaliza ndo mfuate inayofuatia
"Kumkoma nyani giladi" ukitaka kumuua nyani usimwangalie machoni, kama serikali itapinduka bora kuliko kuwa na viongozi wauza unga. Weka majina ya vigogo wa serikali
 
Hayo ni mawazo yako na Tanzania kuna uhuru wa maoni wakati huu wa Kikwete.
"akisema kuwa wapo wengine ambao majina yao yakitajwa nchi itashtuka kwani ni watendaji wa ngazi za juu serikalini"
Mama unaweza kutusaidi baadhi ya majina, au Lumumba hamna list ya wafadhili wenu?
 
"akisema kuwa wapo wengine ambao majina yao yakitajwa nchi itashtuka kwani ni watendaji wa ngazi za juu serikalini"
Mama unaweza kutusaidi baadhi ya majina, au Lumumba hamna list ya wafadhili wenu?

Nimeshakwambieni ni Kanisa. Jee ni kipi msichokielewa na ushahidi nimewawekea huko juu. Au unakurupuka bila kusoma nyuzi kwa umakini?
 
Nimeshakwambieni ni Kanisa. Jee ni kipi msichokielewa na ushahidi nimewawekea huko juu. Au unakurupuka bila kusoma nyuzi kwa umakini?

Huyu mlevi wa futari naye, watendaji wa juu wa serikali ni kanisa?
 
namaanisha kama amina chifupa(r.i.p) aliishia kusema kuwa anayo list ya wauza madawa, na hakuwataja mpaka mauti yakamkuta na majina yake,rais pia alisema anayo majina ila hajataja hata moja, kwa ujumla watu wengi wanasema majina wanayo lakini hawana uthubutu wa kuyataja kwanini huyu mfungwa asipongezwe kwa hilo tu la kutaja hayo majina machache?
"Kumkoma nyani giladi" ukitaka kumuua nyani usimwangalie machoni, kama serikali itapinduka bora kuliko kuwa na viongozi wauza unga. Weka majina ya vigogo wa serikali
 
Umeichambua vizuri hiyo barua lakini ulipoingiza mambo ya CHADEMA na CCM uchambuzi wako umekosa nguvu, kama suala la polisi kuwasumbua vyama vya siasa hawajaanza leo mbona haujawasema CUF wewe na CHADEMA tu.

Sasa CUF hajaisema vipi na hali ameshaitaja CCM? Si unajua Lipumba aliungana na Kikwete 2010 ili kuhakikisha Slaa hashindi?? Au na hili unataka ushahidi?
 
Hakuna cha kufunika kombe, mambo yanaratibiwa kutoka Vatican na nimekubandikia hapo juu ukajisomee mwenyewe zaidi. Haya mambo si madogo na mnayajuwa hayo. Kama ni wenye kufikiri.

Tatizo lenu (baadhi) mnadanganyana mkifikiri mnasaidiana. Ndio maana Kikwete alimdanganya Lipumba na baadhi yenu "waislam" . Kama ni kanisa linaratibu tena kanisa katoliki kwa nini Jakaya Khalfani Kikwete asilishughulikie kanisa la Tanzania kwa kuhusika na hii biashara??? Au ndio mnaita "mfumo kristu" hata rais akiwa "muislam" bado kanisa linatawala??? Stupidity.. Acha kuingiza hoja za udini usio na maana, tunajadili utendaji wa Kikwete hatuna shida na dini yake na "uislam" wake. UOVU hauna dini. Hata akikamatwa "Saidi" au "Shehe Juma" haimaanishi ni uislam ndio umemtuma.

Acheni kutetea uovu kwa sababu yule ni mwislam au mkristu.
 
Nimeshakwambieni ni Kanisa. Jee ni kipi msichokielewa na ushahidi nimewawekea huko juu. Au unakurupuka bila kusoma nyuzi kwa umakini?
Kwani unge copy na ku paste ingechukuwa muda gani? Pili sio jambo la busara kulihusisha kanisa na madawa ya kulevya. Vita vya kidini Mama havina mwisho
 
Nampongeza kidogo kwa ujasiri wake, lakini bado namdai zaidi. Mkuu mfano ulinikopesha Shs1000,000 nimekurudishia 400,000, je hizo 600,000 utasema basi?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…