Ripoti ya CAG 2021-2022: Rais Samia ataka baadhi ya mashirika yasiyo na tija kufutwa

Ripoti ya CAG 2021-2022: Rais Samia ataka baadhi ya mashirika yasiyo na tija kufutwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu leo amepokea ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) pamoja na TAKUKURU. Katika ripoti hiyo CAG aliyataja mashirika 14 yanayoendeshwa kwa hasara ikiwemo TRC, ATCL na NDC. Rais Samia alisema kwa muda baadhi ya makampuni yamekuwa yakiendeshwa kwa hasara lakini hayaingizii serikali chochote ni bora yakafutwa ili kutoendelea kuleta hasara.

"Kuna haja ya kufanya tathimini kama baadhi ya mashirika ya umma yanafaa kuendelea kuwa nayo, yale yanayofaa yaendelee na yasiyo na tija yafutwe. Mashirika mengi yanachuma fedha kutoka serikalini lakini yenyewe haileti fedha serikalini" - Rais Samia Suluhu.

Lakini kwa upande wa TTCL, Rais Samia Suluhu anasema "TTCL na biashara ya simu kusema kweli imewashinda, tujiulize hivi kweli wanaweza kuendelea kufanya biashara ya sekta ya simu, kwanza wao wana mkongo, kwa kufanya biashara ya simu hakuleti mazingira sawa ya ushindani katika biashara hiyo na kampuni nyingine."

FsYZILXXoAE0pLd

Huyu ni mkuu wa nchi wa aina gani huyu?

Suluhisho la utendaji mbovu ni kufuta shirika?

Sasa tutafanya kitu gani na utendaji mbovu wa serkali yake na yeye mwenyewe?

Inafaa kabisa kuwafuta hawa wote watuachie nchi yetu.

Hovyo Kabisa!
 
Huyu ni mkuu wa nchi wa aina gani huyu?

Suluhisho la utendaji mbovu ni kufuta shirika?

Sasa tutafanya kitu gani na utendaji mbovu wa serkali yake na yeye mwenyewe?

Inafaa kabisa kuwafuta hawa wote watuachie nchi yetu.

Hovyo Kabisa!
Mtoto akinyea mguu wako unaukata kisha unautupa kule ..short is short ways always
 
Mhe rahisi kwa majina Wakukurupuka
Mhe acha niende kweny topic ninkwamba wale stupid wamegoma kuachia ofisi ili mimi wa kukurupuka nipate nafasi…
Ki sheria kauli ya rahisi haipingwi ila hawa stupid wamegoma…

Najua kwa sasa mhe upo kwenye mungo wa Ramadhan ila ikiisha fanya kweli..
 
Back
Top Bottom