Unaelewa ulichoelezwa au ww ni pimbiWewe umetoa wapi hizo hasara maana leo tanesco hajatajwa kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaelewa ulichoelezwa au ww ni pimbiWewe umetoa wapi hizo hasara maana leo tanesco hajatajwa kabisa
Baada ya ripoti ya CAG Kutolewa na kueleza madudu ya GPSA, Rais Samia Hassan amependekeza taasisi hiyo ya umma ifutwe au iundwe upya.
Kwa kauli hii ya Rais bila shaka huu ni uamuzi kamili wa kuizika rasmi GPSA .
Mama yupi huyo unayemzungumziaMama awe mkali kila Jambo litakaa sawa,akiwachekea walamba Asali itakula kwake!!
Wakikopa tena hovyo hivyo deni likafika let say 500m usd .watahamishia tena serikalini nauliza tu mkuu maana kwa mtindo huwa si nchi itafilisika kwa madeniMbona nimekueleza vizuri tu kuwa Tanesco waliuza madeni yao kwa serikali. Au hujui hasara inapatikanaje?
Tanesco walikua na deni la zaidi ya trilioni 2, Kama hili deni lisingehamishiwa kwa serikali ni napatao yapo ya Tanesco yangeweza kufunika hilo deni? Sababu za kuhamishiaa deni serikalini ni ili kuweka vitabu vyao vizuri na waweze kukopa wao kama wao
Wamemtuma kijana wao neppie ili kuua ttcl wameona haitoshi. Hivi kusema ttcl wana mkongo eti hakuna ushindani sawa, hapo ni suala la hasara kwa shirika la ttcl au ni kukingia kampuni binafsi ushindani. Kwani serikali kukusanya kodi toka raia ni biashara? Kazi ya kodi ni nini kama sio pia kuendesha mashirika ya huduma muhimu kwa faida ya jamii. Kwa nini waone uchungu shirika kama ttcl likitoa huduma kwa bei nafuu kwa raia. Halafu ujue huyu mama hakuna kitu anajua. NDC ni shirika la biashara? Au hajui kazi ya NDC? Wanaacha kusimamia uadilifu na tija badala yake wanalihujumu ttcl kwa maslahi yao kwenye mashirika binafsi. Mtu kama magufuli asiye na mawaa alitoa nguvu yake kuimarisha ttcl sasa wahuni wameingia kutaka kuliua shirika.
Pimbi Mama yako na Baba yakoUnaelewa ulichoelezwa au ww ni pimbi
Namzunguzia Mama huyu huyu anaepitia maoni yetu humu kisha huwa anayafanyia kazi!!Mama yupi huyo unayemzungumzia
Wanavaa bendera kwa lengo lakuzipumbaza mamlaka za uteuzi wakitenguliwa nafasi zao wanavaa masweta na skafu zenye rangi za bendera ya taifa.Ifike muda mheshimiwa rais aruhusu mchakato wa katiba mpya uendelee ili tupate viongozi kutoka vyama vyote vya siasa.
Viongozi wengi wa CCM ndio wezi wa mali za watanzania maskini.
Halafu utasikia waziri fulani anasema "tuwe wazalendo".
Na wengine wanavaa tai na suti zenye rangi ya bendera ya Taifa.
Inauma sana.
Naunga mkono mkuuUmeshaondoka kwenye point, Mimi sio mtumishi mimi napambana na box. Shirika kufanya vibaya solution yake sio kulifuta.
Shirika kufanya vibaya tafsiri yake ni uongozi mbaya. Ndio maana nikasema kama shirika ambalo lipo ndani ya wizara linafanya vibaya vipi kuhusu wizara?
Kuna wizara mara nyingi amekua akilalamika kufanya vibaya, mbona hatuzifuti?
Naunga mkonoATCL, TRC na NDC ni mashirika muhimu kwa uchumi wa nchi.
Kuyavunja kutarudisha nyuma maendeleo ya nchi.
Pia kufanya hivyo kwamfanya raisi Samia nae aonekane ni sehemu ya tatizo kwa kukubali kushindwa kuwa ameshindwa kusimamia ukuaji wa mashirika hayo na uendeshaji wake.
Kama mashirika yanafutwa lakini walioyafilisi wafilisiwe kisha wanyongwe tusitaniane.Naunga mkono mkuu
Tutafuta mangapi? Kama ni Solutions kufanya vibaya na kufuta?
Soon mtaambiwa TANESCO wazalishe tu umeme, na kuwauzia makampuni binafsi yatakayotuhudumia wateja.Naunga mkono
Nashangaa tunakimbilia kutaka kuyafuta tutafuta mangapi na kitu gani tutaweza kufanya kama watanzania?
Ndio tatizo la kuwa na nchi ya wapigaji.
Amna kitu raisi asiyejua kuwa yeye ni raisiNamzunguzia Mama huyu huyu anaepitia maoni yetu humu kisha huwa anayafanyia kazi!!
Samia anapenda sana shortcut watu hawataki kabisa kuumiza kichwa kufikiria nje ya box kitu kikifanya vibaya solution yake ni kukifuta .mpaka hapa tulipo taasis ya ikulu inapaswa nayo kufutwa maana sioni tija ya kuwa nayoNaunga mkono
Nashangaa tunakimbilia kutaka kuyafuta tutafuta mangapi na kitu gani tutaweza kufanya kama watanzania?
Ndio tatizo la kuwa na nchi ya wapigaji.
Kama vipi ifutwe tu, maana imeshindwa kuleta tijaSamia anapenda sana shortcut watu hawataki kabisa kuumiza kichwa kufikiria nje ya box kitu kikifanya vibaya solution yake ni kukifuta .mpaka hapa tulipo taasis ya ikulu inapaswa nayo kufutwa maana sioni tija ya kuwa nayo
Nakubaliana na wewe mkuu.Soon mtaambiwa TANESCO wazalishe tu umeme, na kuwauzia makampuni binafsi yatakayotuhudumia wateja.
Unit moja ya umeme tutanunua kwa zaidi ya alfu.
So sad. Wakati bwawa la kuzalisha umeme mto Rufiji linaanza kujengwa, tuliambiwa umeme ungepungua bei, tungeweza kupata umeme kwa sh 100 kwa unit. Sasa hivi hata waliokuwa kwenye tariff ya chini, wanaoitwa wanyonge wanaondoshwa.Nakubaliana na wewe mkuu.
Kwa mwendo huu itakuwa hivyo
Ukiangalia receipt baada ya kununua luku utaona taasisi lukuki wanabeba tozoSo sad. Wakati bwawa la kuzalisha umeme mto Rufiji linaanza kujengwa, tuliambiwa umeme ungepungua bei, tungeweza kupata umeme kwa sh 100 kwa unit. Sasa hivi hata waliokuwa kwenye tariff ya chini, wanaoitwa wanyonge wanaondoshwa.
2025 wasipoiba kura hawawezi kupata hata 20%.