Mnataka kututoa kwenye msitari bwashee...Chadema na wizi wa ruzuku ni kama mgonjwa na uji!
Hii nchi taasisi zote zinawezi tu.Wanatia wasiwasi hawa watu hata kabla ya kupewa nchi wanafanya ubadhilifu wa namna hii?View attachment 1747489
Hii nchi kila kona ni wizi mtupu!Mnataka kututoa kwenye msitari bwashee...
Kubwa la Majizi ni Jiwe,....tunashukuru Mungu amelifyekelea mbali...
Ya Chadema ni mitumba walinunua yard ya pale Jangwani Girls!Magari 5 ya CHADEMA ............................................................................................ sh. 227M
Gari 1 la Mkurugenzi wa Halmashauri aliyesamehewa na JPM ...................... sh. 400M
Ok basi sawa...Hii ni kwa mujibu wa ripoti za CAG na hii ni picha kamili kuwa wanachama wa Chadema walishabariki ufisadi wa viongozi wao.View attachment 1747607
MmekutanaWizi mtupu bwashee!