RIPOTI YA CAG: CHADEMA ilitumia Tsh Milioni 377 bila idhini ya Baraza la Chama

RIPOTI YA CAG: CHADEMA ilitumia Tsh Milioni 377 bila idhini ya Baraza la Chama

Magari 5 ya CHADEMA ............................................................................................ sh. 227M
Gari 1 la Mkurugenzi wa Halmashauri aliyesamehewa na JPM ...................... sh. 400M
Hapa Slowslow anahitajika na zile hesabu zake za madiagram. 😂

Everyday is Saturday................................😎
 
Risiti za Manunuzi zipo zilizokiukwa ni taratibu za ndani ya Chama ambazo watakaobainika hatua za kinidhamu zitachukuliwa.
Ahaaa, acha kupoza moto kijanja.
 
Wanatia wasiwasi hawa watu hata kabla ya kupewa nchi wanafanya ubadhilifu wa namna hii?

Chadema kilinunua magari matano yenye thamani ya Sh. 227.43 milioni na nyumba moja Sh. 50 milioni iliyopo Serengeti bila idhini ya Baraza Kuu la Chama.

Pia, Sh.100 milioni zilitumika kwenye matumizi ya kawaida ya chama bila ya idhini ya baraza kuu la chama.
Wawajibike! Tafadhali lete na report ya matumizi ya CCM hapa, usilete habar nusunusu hapa.
 
Wanatia wasiwasi hawa watu hata kabla ya kupewa nchi wanafanya ubadhilifu wa namna hii?

Chadema kilinunua magari matano yenye thamani ya Sh. 227.43 milioni na nyumba moja Sh. 50 milioni iliyopo Serengeti bila idhini ya Baraza Kuu la Chama.

Pia, Sh.100 milioni zilitumika kwenye matumizi ya kawaida ya chama bila ya idhini ya baraza kuu la chama.
Two wrongs don't make a right.
 
Back
Top Bottom