RIPOTI YA CAG: CHADEMA ilitumia Tsh Milioni 377 bila idhini ya Baraza la Chama

RIPOTI YA CAG: CHADEMA ilitumia Tsh Milioni 377 bila idhini ya Baraza la Chama

Wonders shall never end
Magari 5 ya CHADEMA ............................................................................................ sh. 227M
Gari 1 la Mkurugenzi wa Halmashauri aliyesamehewa na JPM ...................... sh. 400M
 
Chadema na wizi wa ruzuku ni kama mgonjwa na uji!

Chadema haiwezi kununua nyumba sh milioni 50 huko porini.
Magari 5 ya CDM ni million 277 gari Moja ya mkurugenzi 400 million nani fisadi sasa??
 
Soma report ya CAG vizuri. Miradi mingi imetumia fedha nyingi kuliko ilivyoainishwa kwenye budget.

Hizo pesa za ziada zilienda wapi?
Unaambiwa hizo hela zimetumika bila baraza kuu kuhusishwa na manunuzi. Kwa maana hiyo hizo hela zimepigwa juu kwa juu na mwenyekiti akishirikiana na genge lake huku akiwaacha wajumbe wa baraza kuu wakiwa hawajui kinachoendelea. Kwa kuwazuga akawasogezea magari mabovu na banda moja ili ionekane zilitumika kununua hivyo vitu. Hii inaitwa 'fumbo mfumbie mjinga' ila mjanja kama mimi nitang'amua tu
 
Magari 5 ya CDM ni million 277 gari Moja ya mkurugenzi 400 million nani fisadi sasa??
Hii coment inaonyesha ukubwa wa elimu yako.
Magari Yana bei fotauti kulingana na aina, unataka Bei ya Vitz iwe sawa na V8?
 
Hao milioni 377 tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna chama toka Uhuru wamepiga trilioni 1000
 
Nakuuliza tena ni chama unafikiri kinafaa kukaa madarakani baada ya kuitoa ccm?
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kinaweza tukipe ridhaa kweni kikiboronga si tunakitoa tu
 
Magari 5 ya CHADEMA ............................................................................................ sh. 227M
Gari 1 la Mkurugenzi wa Halmashauri aliyesamehewa na JPM ...................... sh. 400M
Ndio unahalalisha wizi wa Mbowe kwa staili hii?

Fikiria hiyo ni chama tu! Je nchi? Si wataimaliza kabisa
 
Back
Top Bottom