RIPOTI YA CAG: CHADEMA ilitumia Tsh Milioni 377 bila idhini ya Baraza la Chama

RIPOTI YA CAG: CHADEMA ilitumia Tsh Milioni 377 bila idhini ya Baraza la Chama

Mkuu mimi nilijua chama kimekufa kama fisiemu walivyokuwa wanasema, kumbe bado kinawapa kiwewe[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Sasa hivi chadema ipo madarakani kupitia Samia ila ccm ilikufa na Magufuli au hujaona hilo? Hujona wenzio wanavyoshangilia mama samia kwamba inainua maovu ya ccm kupitia CAG?
 
Kitu ambacho mmeshindwa kung'amua hapa ni kuwa huu sio upigaji. Hapo umeeleza kabisa matumizi ya hizo pesa kuwa zilitumika kununua magari, nyumba na kufanyia shughuli nyingine za chama.

Maana yake hizo hela zipo accountable for.

Kosa hapo ni baraza kuu la chama kutohusishwa lakini hakuna hela iliyopigwa, yote imetumika kwa manufaa ya chama.

MATAGA mnahangaika sana.
Ahaaa.. Misukule ya Mbowe!

Yani Mbowe anajivunia sana kuwa na watu boga kama wewe.
 
Wizi ni matokeo ya ubinafsi. Binadamu woooote, na mimi nikiwa mmoja wapo, wana mentality ya ubinafsi ndio maana hata ukimnunulia mtoto wako baiskweli au mdoli baada ya masaa kadhaa ukimuomba kwa masihara atakataa kukupa ilhali pesa ya kununulia ulitoa wewe mwenyewe.
Sasa si kwa sababu umemuomba kwa masihara ila ukiomba serious anakupa...😄😄
 
CCM mlifanya ubadhirifu wa kiasi gani ndio mkapewa nchi?
 
Magari 5 ya CHADEMA ............................................................................................ sh. 227M
Gari 1 la Mkurugenzi wa Halmashauri aliyesamehewa na JPM ...................... sh. 400M
Asee dunia haiishiwi maajabu
 
Kwenye uzi huu utakutana wezi wanasutana kwa wizi kila mmoja akimshutumu mwenzake kwa kuiba zaidi......hapa ndio unapata picha kamili ya siasa za Tanzania na mindsets za wanasiasa wake.....huku ukistaajabishwa na akili ndogo za wafuasi wao...........KIZA BADO NI KINENE......

NB;
Aliyeiba karanga gunia na aliyeiba karanga kikombe kimoja wote ni wezi.....
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kinaweza tukipe ridhaa kweni kikiboronga si tunakitoa tu
Haha ucha utoto wewe,huu mwaka wa ngapi hadi sasa mnaangaika kuitoa ccm halafu CDM ikibolonga tunakitoa kwa baada ya miaka mingapi tena? Kwanza kwanini unafikiri Chadema inafaa hebu nipe sababu za msingi.
 
Wanatia wasiwasi hawa watu hata kabla ya kupewa nchi wanafanya ubadhilifu wa namna hii?

Chadema kilinunua magari matano yenye thamani ya Sh. 227.43 milioni na nyumba moja Sh. 50 milioni iliyopo Serengeti bila idhini ya Baraza Kuu la Chama.

Pia, Sh.100 milioni zilitumika kwenye matumizi ya kawaida ya chama bila ya idhini ya baraza kuu la chama.
Hivi wewe ni mwanchama wa cdm? I'd yako ya uanachama ni mamba ngapi vile?
Una low thinking capacity ndio maana topic zako zipo shallow mno! Yaani unaona wananchi ni wajinga Sana eeh!
Unajaribu ku-spin hoja ya cag kijinga mno! Mataga Kama mnaowalipa buku Saba ni aina hii ya walevi wa mkangafu, Bora muachane nao kwani kwenye vichwa vyao wamejaza mabosi yaani machicha ya ulanzi!
Umeliona hilo la cdm isiyoongoza nchi na ukasahau mabilioni yaliyopigwa na serikali ya ccm! Ccm mjinga kabisa wewe!
 
Chadema na wizi wa ruzuku ni kama mgonjwa na uji!

Chadema haiwezi kununua nyumba sh milioni 50 huko porini.
Hii ripoti ya CAG ina walakin. Kwanza, kwenye summary yasema wamepata hati safi. Je hii ni safi? Pili, vitimaalum walilalamika kwamba stahiki zao za kupunguziwa kodi kama wabunge zilitumika visivyo, yaani magari siyo yao ni ya chama au ya "wakubwa". Je, hii ni kweli? Nakumbuka waliburutwa TAKUKURU kundi zina kwa kughushi misamaha ya kodi, je, imeishaishaje?
 
Haha ucha utoto wewe,huu mwaka wa ngapi hadi sasa mnaangaika kuitoa ccm halafu CDM ikibolonga tunakitoa kwa baada ya miaka mingapi tena? Kwanza kwanini unafikiri Chadema inafaa hebu nipe sababu za msingi.
Na wewe leta sababu za kwanini ccm ni wezi wa Kodi za wananchi?
 
Haha ucha utoto wewe,huu mwaka wa ngapi hadi sasa mnaangaika kuitoa ccm halafu CDM ikibolonga tunakitoa kwa baada ya miaka mingapi tena? Kwanza kwanini unafikiri Chadema inafaa hebu nipe sababu za msingi.
Ccm kwa sasa inatumia nguvu ya Dola kama inataka ushindani uache kutumia mabavu.
 
Back
Top Bottom