Ripoti ya CAG imefichua madudu mengi ya awamu ya tano, kulikuwa na ufisadi wa kutisha

Mwanafunzi wa mandarin Chinese stage one
 
Huu mjadala umesababishwa na top layer mbili
Rais mteule kuhusu ukuta wa Mirerani na mengineyo
Ripoti ya CAG
Hayakutoka popote nje ya hapo ... Na hizo ni taarifa rasmi za serikali sio kutoka redio mbao mitandaoni
 
Unasemaje kuhusu hili la ndege moja tu kufanyiwa service ya BILIONI TATU NA MILIONI MIA TISA na bado ikashindwa kuruka walau mruko mmoja tuu!? Nalo hili ni la mkuu wa idara kweli?
Vipi la kuwa na management nzima ATCL isiyo na mtaalam hata mmoja wa ndege?
 
Mmesikia serikali ya wanyonge? Serikali takatifu ya shujaa wa Afrika, tuliyeambiwa amefuta ufisadi? Ngoja nikutajie machache;
Ujenzi wa SGR umesababisha hasara ya 3.5Bil kwa kuajiri wafanyakazi wa kigeni wasiokua na vibali.

Kigwangala alitumia 172M kuandaa Kili challenge lakini pesa hizo hazijulikani zilitumikaje (hazina risiti).

Akaunti ya jeshi la zimamoto ilitumika kupitisha 261M. Yani watu walipiga "mchongo" wakakosa akaunti ya kupitishia, wakatumia akaunti ya zimamoto. Zilipoingia wakazitoa wakasepa. Just imagine watu wana ujasiri wa kupitisha pesa chafu kwenye akaunti ya jeshi? Halafu tunaambiwa mwendazake alinyoosha nchi.

Wasafi walipewa 140M, TBC 201M na Clouds 629M kutangaza tamasha la Urithi Festival. Lakini hakuna mkataba wala risiti yoyote ya kujustify malipo hayo.

18Bil zilizokusanywa ktk wilaya 135 hazikufika serikalini. Yani zilikusanywa lakini wajanja wakalala nazo mbele.

3.9Bil zilitolewa kukarabati ndege ya ATCL iliyopaki tangu mwaka 2015, lakini hela imeliwa na ndege haijakarabatibwa. Yani watu walitafuna milioni 3,900 halafu hawakupaka hata rangi.Hayo ni baadhi tu ya "madudu" ya serikali takatifu ya mwendazake. Sijaongelea HESLB, TANAPA, TANROADS, SGR, Stligler's gorge, Stand ya Magufuli. Huko kuna madudu ya kutisha.

Lakini tuliaminishwa serikali ya mwendazake haikua na doa. Watu waliokosoa waliitwa vibaraka. Serikali takatifu haikutaka kunyooshewa kidole.

Tujifunze kutofautisha mtu msafi na anayeficha uchafu. Mwendazake hakua msafi bali alijua kuficha uchafu. Ndio maana akaminya uhuru wa habari. Hatukusikia skendo kama za Escrow tukadhani serikali yake ni safi, kumbe kuna skendo kubwa zaidi ya Escrow lakini zimefichwa uvunguni.Ndio maana nasema afadhali JK aliruhusu media ziwe huru. Skendo za Richmond, EPA, Escrow aliacha wananchi wajue. Lakini mwendazake alifunika skendo zisifike kwa wananchi.

Ndio maana watu wamemtania CAG atoe pia ripoti aliyopanga kumpa mwendazake, maana angekua hai asingethubutu kusema ATCL imepata hasara ya mabilioni, au SGR imeleta hasara, au mradi wa Stigler's umejaa madudu. Angeficha kwa sababu ndivyo mwendazake alivyopenda.

Tunahitaji viongozi wasafi, sio wanaojua kuficha uchafu.!

By Malisa Godlisten
 
Kigwangala alitumia 172M kuandaa Kili challenge lakini pesa hizo hazijulikani zilitumikaje (hazina risiti).

Akaunti ya jeshi la zimamoto ilitumika kupitisha 261M. Yani watu walipiga "mchongo" wakakosa akaunti ya kupitishia, wakatumia akaunti ya zimamoto. Zilipoingia wakazitoa wakasepa. Just imagine watu wana ujasiri wa kupitisha pesa chafu kwenye akaunti ya jeshi? Halafu tunaambiwa mwendazake alinyoosha nchi.

Wasafi walipewa 140M, TBC 201M na Clouds 629M kutangaza tamasha la Urithi Festival. Lakini hakuna mkataba wala risiti yoyote ya kujustify malipo hayo.

18Bil zilizokusanywa ktk wilaya 135 hazikufika serikalini. Yani zilikusanywa lakini wajanja wakalala nazo mbele.

3.9Bil zilitolewa kukarabati ndege ya ATCL iliyopaki tangu mwaka 2015, lakini hela imeliwa na ndege haijakarabatibwa. Yani watu walitafuna milioni 3,900 halafu hawakupaka hata rangi.Hayo ni baadhi tu ya "madudu" ya serikali takatifu ya mwendazake. Sijaongelea HESLB, TANAPA, TANROADS, SGR, Stligler's gorge, Stand ya Magufuli. Huko kuna madudu ya kutisha......[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji24][emoji24][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Duh!! Sasa tufanyeje Mkuu!??
Maana mi nashindwa hata fikiri.
 
Said Nassor Bagaile aka Hamis Kigwangallah alitudanganya na mambo yake ya nje ya box kumbe ni lijizi la mali ya umma.
 
Hadi ripoti ya CAG inafika bungeni ni kwamba kila mhusika ameshapewa nafasi ya kutoa maelezo na utetezi wake sehemu alipohitajika kufanya hivyo. CAG kashamaliza kazi, sasa ni kazi ya bunge la kina Musukuma, Gwajima, Babu Tale, Kibajaji n.k kuziwajibisha hizo taasisi.
 
😪😪😪😪😪😪
 
Sasa kwani huko Mererani wizi hauendelei? YAANI MNABISHANA HADI NA TAARIFA RASMI ZA SERIKALI..!!! Mataga mna kazi.. Unaposema.... Nakunukuu.....Hatua zilizochukuliwa hazikuzaa matunda yaliyotarajiwa... mwisho wa kunukuu... HAYA ZIMEZAA NINI?

KIFUPI, ONE MAN SHOW NDO SHIDA KUBWA
 
Duh!! Sasa tufanyeje Mkuu!??
Maana mi nashindwa hata fikiri.
Kigwangala alitumia 172M kuandaa Kili challenge lakini pesa hizo hazijulikani zilitumikaje (hazina risiti).

Akaunti ya jeshi la zimamoto ilitumika kupitisha 261M. Yani watu walipiga "mchongo" wakakosa akaunti ya kupitishia, wakatumia akaunti ya zimamoto. Zilipoingia wakazitoa wakasepa. Just imagine watu wana ujasiri wa kupitisha pesa chafu kwenye akaunti ya jeshi? Halafu tunaambiwa mwendazake alinyoosha nchi.

Wasafi walipewa 140M, TBC 201M na Clouds 629M kutangaza tamasha la Urithi Festival. Lakini hakuna mkataba wala risiti yoyote ya kujustify malipo hayo.

18Bil zilizokusanywa ktk wilaya 135 hazikufika serikalini. Yani zilikusanywa lakini wajanja wakalala nazo mbele.

3.9Bil zilitolewa kukarabati ndege ya ATCL iliyopaki tangu mwaka 2015, lakini hela imeliwa na ndege haijakarabatibwa. Yani watu walitafuna milioni 3,900 halafu hawakupaka hata rangi.Hayo ni baadhi tu ya "madudu" ya serikali takatifu ya mwendazake. Sijaongelea HESLB, TANAPA, TANROADS, SGR, Stligler's gorge, Stand ya Magufuli. Huko kuna madudu ya kutisha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Madikteta wengi huwa ni mafisadi , Rais akishaminya uhuru wa vyombo vya habari ujue kuna mambo mengi yanaendelea hasa ya kifisadi. Tutasikia mengi aisee na hata 40 haijafika
 
Halafu BADO kuna watu wanasimama hapa JF na kwingineko kupambana kutetea... INABIDI MTU UWE NA AKILI YA MWENDAWAZIMU ILI UWEZE KUTETEA HAYA..
 
Ripoti ya CAG ni sawa na repoti ya matokeo ya final exams
Sio wote wanapata A, B, C wapo pia wa D, E....... na yote hayo ni matokeo

Tusubiri hati safi na chafu tujue wale walioPass na walioDisco
Ila imetujulisha mwenzazake hakua anatetea wanyonge mana haya mambo yanayosemwa na CAG angekua hai yule bwana yasingesemwa ili wanyonge wa mwendazake wayasikie au angesema na kutumbuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…