green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Maku yakoUna kinyez..usoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maku yakoUna kinyez..usoni
Mamiyo ndio anayo hapa kwangu kuna gegedo tuMaku yako
Mwanafunzi wa mandarin Chinese stage oneHumu 80% ni blabla tu hakuna facts ya maana, ATCL ni loss ya bil 60 kwa miaka mitano, ni loss sio wizi, uendeshaji wa shirika lenyewe, takribani mashirika yote yamekula loss, suali lingekuwa je pamoja na loss ya mashirika yote haya mbona bado wanaendelea na biashara hiyo?.
Huu mjadala umesababishwa na top layer mbiliSikubaliani na kinacholengwa na mada hii; kwamba "JPM alikuwa fisadi mkubwa na anaumbuliwa na ripoti ya CAG". Ukweli ni kwamba ni kweli kulikuwa na maovu yaliyokuwa yanaendelea tangu awamu zilizotangulia na JPM alikuwa akipigana na hayo na kuwaasa Watanzania wamsaidie kuyafichua na kumuombea. Hivi ni sahihi kweli kumlaumu JPM kwamba alijenga ukuta Mererani lakini wizi unaendelea na kwa hiyo hatua alizochukua zilikuwa ni za kidhalimu? Kitu sahihi ni kusema hatua zilichukuliwa kwa nia njema kutatua tatizo lililokuwepo lakini hazikuzaa matunda yaliyotarajiwa. Siyo kwa sababu mtekelezaji alikuwa na nia mbaya ya ufisadi. Mada inaashiria kwamba JPM alikuwa fisadi mkubwa akijificha kwenye kivuli cha kutetea wanyoge. Huo ndio ukweli wenyewe japo hakufanikiwa katika matakwa yakwe sawasawa na Nyerere alivyoshindwa katika siasa yake ya ujamaa na kujitegemea. JPM alifichua ufisadi uliokuwa ukifanyika Muhimbili na mahospitali mengine. Akaweka kingingi. Mashine za kupimia zikafufuliwa ndani ya wiki mbili; wagonjwa wakawa wakipata dawa kwenye famasia za hospitali ambapo awali ya hapo walikuwa wanaambiwa wakanunue kwenye famasia za binafsi; vitanda vikapatikana kwa wagonjwa ambapo zamani walikuwa wakilala wagonjwa kadhaa kwenye kitanda kimoja na wengine sakafuni. Siyo sahihi kusema kwamba Awamu ya Tano ilikuwa imejaa uozo na kiongozi wake alikuwa fisadi. Hii nakataa kabisa. Sahihi ni kusema kwamba Awamu hiyo ilijitahidi kurekebisha uozo lakini haikufanikisha iliyotarajia kwa asilimia 100; na tuongeze kwamba kutofanikiwa huko kulitokana na ushirikiano mdogo kutoka kwenye jamii kuwafichua wapinga maazimio ya juhudi za serikali.
Unasemaje kuhusu hili la ndege moja tu kufanyiwa service ya BILIONI TATU NA MILIONI MIA TISA na bado ikashindwa kuruka walau mruko mmoja tuu!? Nalo hili ni la mkuu wa idara kweli?Tatizo lipo kwa wakuu wa Idara husika, na viongozi wenye wajibu wa kusimamia Matumizi ya fedha za serikali.
wahusika ktk ubadhirifu au matumizi mabaya ya fedha za serikali wachukuliwe hatua bila kuoneana aibu.
kuleana na kuoneana aibu ndio kutaiangamiza taifa letu, hatua kali zichukuliwe.
Hata Hayati JPM ange kuwa haki ange chukua hatua kali vivo hivyo tunategemea kwa Rais wetu Mama Samia atachukua hatua kali kwa kila idara na viongozi wake.
Kigwangala alitumia 172M kuandaa Kili challenge lakini pesa hizo hazijulikani zilitumikaje (hazina risiti).View attachment 1746998
Mmesikia serikali ya wanyonge? Serikali takatifu ya shujaa wa Afrika, tuliyeambiwa amefuta ufisadi? Ngoja nikutajie machache;
Ujenzi wa SGR umesababisha hasara ya 3.5Bil kwa kuajiri wafanyakazi wa kigeni wasiokua na vibali.
Kigwangala alitumia 172M kuandaa Kili challenge lakini pesa hizo hazijulikani zilitumikaje (hazina risiti).
Akaunti ya jeshi la zimamoto ilitumika kupitisha 261M. Yani watu walipiga "mchongo" wakakosa akaunti ya kupitishia, wakatumia akaunti ya zimamoto. Zilipoingia wakazitoa wakasepa. Just imagine watu wana ujasiri wa kupitisha pesa chafu kwenye akaunti ya jeshi? Halafu tunaambiwa mwendazake alinyoosha nchi.
Wasafi walipewa 140M, TBC 201M na Clouds 629M kutangaza tamasha la Urithi Festival. Lakini hakuna mkataba wala risiti yoyote ya kujustify malipo hayo.
18Bil zilizokusanywa ktk wilaya 135 hazikufika serikalini. Yani zilikusanywa lakini wajanja wakalala nazo mbele.
3.9Bil zilitolewa kukarabati ndege ya ATCL iliyopaki tangu mwaka 2015, lakini hela imeliwa na ndege haijakarabatibwa. Yani watu walitafuna milioni 3,900 halafu hawakupaka hata rangi.Hayo ni baadhi tu ya "madudu" ya serikali takatifu ya mwendazake. Sijaongelea HESLB, TANAPA, TANROADS, SGR, Stligler's gorge, Stand ya Magufuli. Huko kuna madudu ya kutisha.
Lakini tuliaminishwa serikali ya mwendazake haikua na doa. Watu waliokosoa waliitwa vibaraka. Serikali takatifu haikutaka kunyooshewa kidole.
Tujifunze kutofautisha mtu msafi na anayeficha uchafu. Mwendazake hakua msafi bali alijua kuficha uchafu. Ndio maana akaminya uhuru wa habari. Hatukusikia skendo kama za Escrow tukadhani serikali yake ni safi, kumbe kuna skendo kubwa zaidi ya Escrow lakini zimefichwa uvunguni.Ndio maana nasema afadhali JK aliruhusu media ziwe huru. Skendo za Richmond, EPA, Escrow aliacha wananchi wajue. Lakini mwendazake alifunika skendo zisifike kwa wananchi.
Ndio maana watu wamemtania CAG atoe pia ripoti aliyopanga kumpa mwendazake, maana angekua hai asingethubutu kusema ATCL imepata hasara ya mabilioni, au SGR imeleta hasara, au mradi wa Stigler's umejaa madudu. Angeficha kwa sababu ndivyo mwendazake alivyopenda.
Tunahitaji viongozi wasafi, sio wanaojua kuficha uchafu.!
By Malisa Godlisten
Duh!! Sasa tufanyeje Mkuu!??Siku ya leo sijui tuuiteje huko; Mbaya? Au nzuri sana?
Ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali inayoendelea kusomwa muda huu si kwamba tu inawaweka CCM na watetezi wa mwendazake kwenye wakati mgumu sana, lakini tayari imechefua wananchi wengi kwa kiwango kisichomithilika.
Madudu ya SHUJAA WA AFRIKA yanatisha na kutia kinyaa.
Madudu ya MTETEZI WA WANYONGE Yanatia hasira sana.
Chukulia hili moja BILIONI 3.9 kwenye matengenezo ya ndege moja ambayo HAIKUFAA![emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Upinzani uliwahi kusema upigaji wa awamu hii utavunja rekodi, watu wakabeza sana. Lakini wakati ni hakimu mzuri. Uongo hupanda lift lakini ukweli hukwea ngazi. Mahakama ya mafisadi inaweza kuanzia pale kwenye nyumba ya milele ya mwendaAzakwe marehemu hayati.
Huu uozo uliendelea kuwekwa wazi peupe hivi tusishangae kuona siku moja marehemu akalikimbia kaburi lake. N itokee kuna kitu kinaitwa maandamano kifanyike[emoji848][emoji848][emoji848] Bila udhibiti imara si ajabu kuwakuta waandamanaji wakilicharaza bakora kaburi la shujaa wa Afrika na kuipopoa mawe picha yake.
Baada ya kusomwa hii ripoti, masikio yote yako kwa Bimkubwa. Je, atasemaje? Watu wamefura kwa hasira. I hope hatawazingua
Mahabusu ziandaliwe za kutosha sasa. Ni zamu ya kubadilisha wapangaji. Karibia kila wizara ina vimeo vya kutisha.
Kigwangala alitumia 172M kuandaa Kili challenge lakini pesa hizo hazijulikani zilitumikaje (hazina risiti).
Akaunti ya jeshi la zimamoto ilitumika kupitisha 261M. Yani watu walipiga "mchongo" wakakosa akaunti ya kupitishia, wakatumia akaunti ya zimamoto. Zilipoingia wakazitoa wakasepa. Just imagine watu wana ujasiri wa kupitisha pesa chafu kwenye akaunti ya jeshi? Halafu tunaambiwa mwendazake alinyoosha nchi.
Wasafi walipewa 140M, TBC 201M na Clouds 629M kutangaza tamasha la Urithi Festival. Lakini hakuna mkataba wala risiti yoyote ya kujustify malipo hayo.
18Bil zilizokusanywa ktk wilaya 135 hazikufika serikalini. Yani zilikusanywa lakini wajanja wakalala nazo mbele.
3.9Bil zilitolewa kukarabati ndege ya ATCL iliyopaki tangu mwaka 2015, lakini hela imeliwa na ndege haijakarabatibwa. Yani watu walitafuna milioni 3,900 halafu hawakupaka hata rangi.Hayo ni baadhi tu ya "madudu" ya serikali takatifu ya mwendazake. Sijaongelea HESLB, TANAPA, TANROADS, SGR, Stligler's gorge, Stand ya Magufuli. Huko kuna madudu ya kutisha......[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji24][emoji24][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Kaka Mshana wewe ni mzoefu, nadhani unakumbuka ripoti ya 2014 ambapo hoja karibu zote zilipanguliwa! Nadhani hata hizi ngoja ziende Bungeni. Nina mdogo wangu mahali ananiambia watu wanakimbizana kujibu hizi hoja.
Najiuliza walikuwa wapi kabla? Huu ni uzembe wa hali ya juu. Tunaimani na Bi Mkubwa kuwachukulia hatua wahusika kabla hawajaichafua serikali ya awamu ya sita.
- Ikithibitika wizi na ufisadi fukuzaa
- waliichelewa kujibu hoja fukuzaaa
- waliohonga hela pale OR TAMISEMI wakapata hati safi na kwenye ma taasisi ya umma fukuzaaaa! Wakiwemo hao watumishi wa CAG
Wanadamu ni wabaya sana jamani wasimzingue mama!
😪😪😪😪😪😪View attachment 1746998
Mmesikia serikali ya wanyonge? Serikali takatifu ya shujaa wa Afrika, tuliyeambiwa amefuta ufisadi? Ngoja nikutajie machache;
Ujenzi wa SGR umesababisha hasara ya 3.5Bil kwa kuajiri wafanyakazi wa kigeni wasiokua na vibali.
Kigwangala alitumia 172M kuandaa Kili challenge lakini pesa hizo hazijulikani zilitumikaje (hazina risiti).
Akaunti ya jeshi la zimamoto ilitumika kupitisha 261M. Yani watu walipiga "mchongo" wakakosa akaunti ya kupitishia, wakatumia akaunti ya zimamoto. Zilipoingia wakazitoa wakasepa. Just imagine watu wana ujasiri wa kupitisha pesa chafu kwenye akaunti ya jeshi? Halafu tunaambiwa mwendazake alinyoosha nchi.
Wasafi walipewa 140M, TBC 201M na Clouds 629M kutangaza tamasha la Urithi Festival. Lakini hakuna mkataba wala risiti yoyote ya kujustify malipo hayo.
18Bil zilizokusanywa ktk wilaya 135 hazikufika serikalini. Yani zilikusanywa lakini wajanja wakalala nazo mbele.
3.9Bil zilitolewa kukarabati ndege ya ATCL iliyopaki tangu mwaka 2015, lakini hela imeliwa na ndege haijakarabatibwa. Yani watu walitafuna milioni 3,900 halafu hawakupaka hata rangi.Hayo ni baadhi tu ya "madudu" ya serikali takatifu ya mwendazake. Sijaongelea HESLB, TANAPA, TANROADS, SGR, Stligler's gorge, Stand ya Magufuli. Huko kuna madudu ya kutisha.
Lakini tuliaminishwa serikali ya mwendazake haikua na doa. Watu waliokosoa waliitwa vibaraka. Serikali takatifu haikutaka kunyooshewa kidole.
Tujifunze kutofautisha mtu msafi na anayeficha uchafu. Mwendazake hakua msafi bali alijua kuficha uchafu. Ndio maana akaminya uhuru wa habari. Hatukusikia skendo kama za Escrow tukadhani serikali yake ni safi, kumbe kuna skendo kubwa zaidi ya Escrow lakini zimefichwa uvunguni.Ndio maana nasema afadhali JK aliruhusu media ziwe huru. Skendo za Richmond, EPA, Escrow aliacha wananchi wajue. Lakini mwendazake alifunika skendo zisifike kwa wananchi.
Ndio maana watu wamemtania CAG atoe pia ripoti aliyopanga kumpa mwendazake, maana angekua hai asingethubutu kusema ATCL imepata hasara ya mabilioni, au SGR imeleta hasara, au mradi wa Stigler's umejaa madudu. Angeficha kwa sababu ndivyo mwendazake alivyopenda.
Tunahitaji viongozi wasafi, sio wanaojua kuficha uchafu.!
By Malisa Godlisten
Sasa kwani huko Mererani wizi hauendelei? YAANI MNABISHANA HADI NA TAARIFA RASMI ZA SERIKALI..!!! Mataga mna kazi.. Unaposema.... Nakunukuu.....Hatua zilizochukuliwa hazikuzaa matunda yaliyotarajiwa... mwisho wa kunukuu... HAYA ZIMEZAA NINI?Sikubaliani na kinacholengwa na mada hii; kwamba "JPM alikuwa fisadi mkubwa na anaumbuliwa na ripoti ya CAG". Ukweli ni kwamba ni kweli kulikuwa na maovu yaliyokuwa yanaendelea tangu awamu zilizotangulia na JPM alikuwa akipigana na hayo na kuwaasa Watanzania wamsaidie kuyafichua na kumuombea. Hivi ni sahihi kweli kumlaumu JPM kwamba alijenga ukuta Mererani lakini wizi unaendelea na kwa hiyo hatua alizochukua zilikuwa ni za kidhalimu? Kitu sahihi ni kusema hatua zilichukuliwa kwa nia njema kutatua tatizo lililokuwepo lakini hazikuzaa matunda yaliyotarajiwa. Siyo kwa sababu mtekelezaji alikuwa na nia mbaya ya ufisadi. Mada inaashiria kwamba JPM alikuwa fisadi mkubwa akijificha kwenye kivuli cha kutetea wanyoge. Huo ndio ukweli wenyewe japo hakufanikiwa katika matakwa yakwe sawasawa na Nyerere alivyoshindwa katika siasa yake ya ujamaa na kujitegemea. JPM alifichua ufisadi uliokuwa ukifanyika Muhimbili na mahospitali mengine. Akaweka kingingi. Mashine za kupimia zikafufuliwa ndani ya wiki mbili; wagonjwa wakawa wakipata dawa kwenye famasia za hospitali ambapo awali ya hapo walikuwa wanaambiwa wakanunue kwenye famasia za binafsi; vitanda vikapatikana kwa wagonjwa ambapo zamani walikuwa wakilala wagonjwa kadhaa kwenye kitanda kimoja na wengine sakafuni. Siyo sahihi kusema kwamba Awamu ya Tano ilikuwa imejaa uozo na kiongozi wake alikuwa fisadi. Hii nakataa kabisa. Sahihi ni kusema kwamba Awamu hiyo ilijitahidi kurekebisha uozo lakini haikufanikisha iliyotarajia kwa asilimia 100; na tuongeze kwamba kutofanikiwa huko kulitokana na ushirikiano mdogo kutoka kwenye jamii kuwafichua wapinga maazimio ya juhudi za serikali.
Kigwangala alitumia 172M kuandaa Kili challenge lakini pesa hizo hazijulikani zilitumikaje (hazina risiti).Duh!! Sasa tufanyeje Mkuu!??
Maana mi nashindwa hata fikiri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kwani huko Mererani wizi hauendelei? YAANI MNABISHANA HADI NA TAARIFA RASMI ZA SERIKALI..!!! Mataga mna kazi.. Unaposema.... Nakunukuu.....Hatua zilizochukuliwa hazikuzaa matunda yaliyotarajiwa... mwisho wa kunukuu... HAYA ZIMEZAA NINI?
KIFUPI, ONE MAN SHOW NDO SHIDA KUBWA
Halafu BADO kuna watu wanasimama hapa JF na kwingineko kupambana kutetea... INABIDI MTU UWE NA AKILI YA MWENDAWAZIMU ILI UWEZE KUTETEA HAYA..Kigwangala alitumia 172M kuandaa Kili challenge lakini pesa hizo hazijulikani zilitumikaje (hazina risiti).
Akaunti ya jeshi la zimamoto ilitumika kupitisha 261M. Yani watu walipiga "mchongo" wakakosa akaunti ya kupitishia, wakatumia akaunti ya zimamoto. Zilipoingia wakazitoa wakasepa. Just imagine watu wana ujasiri wa kupitisha pesa chafu kwenye akaunti ya jeshi? Halafu tunaambiwa mwendazake alinyoosha nchi.
Wasafi walipewa 140M, TBC 201M na Clouds 629M kutangaza tamasha la Urithi Festival. Lakini hakuna mkataba wala risiti yoyote ya kujustify malipo hayo.
18Bil zilizokusanywa ktk wilaya 135 hazikufika serikalini. Yani zilikusanywa lakini wajanja wakalala nazo mbele.
3.9Bil zilitolewa kukarabati ndege ya ATCL iliyopaki tangu mwaka 2015, lakini hela imeliwa na ndege haijakarabatibwa. Yani watu walitafuna milioni 3,900 halafu hawakupaka hata rangi.Hayo ni baadhi tu ya "madudu" ya serikali takatifu ya mwendazake. Sijaongelea HESLB, TANAPA, TANROADS, SGR, Stligler's gorge, Stand ya Magufuli. Huko kuna madudu ya kutisha.
Hili nalo neno.. Usikute kulikuwa na ripoti mbilimbili... Ya utukufu na ya motoni... Nani apewe ipi, inategemea na anataka niniMIMI NINASHAURI UFANYIKE UCHUNGUZI DHIDI YA OFISI YA CAG
Ila imetujulisha mwenzazake hakua anatetea wanyonge mana haya mambo yanayosemwa na CAG angekua hai yule bwana yasingesemwa ili wanyonge wa mwendazake wayasikie au angesema na kutumbuliwa.Ripoti ya CAG ni sawa na repoti ya matokeo ya final exams
Sio wote wanapata A, B, C wapo pia wa D, E....... na yote hayo ni matokeo
Tusubiri hati safi na chafu tujue wale walioPass na walioDisco
Huu upuuzi hauvumiliki yaani halmashauri zote za mkoa wa Tabora zina hati chafu ?