Ripoti ya CAG Ina mapungufu makubwa ya kimantiki; "non-compliance" imetumika kama ubadhirifu kufurahisha umma

Ripoti ya CAG Ina mapungufu makubwa ya kimantiki; "non-compliance" imetumika kama ubadhirifu kufurahisha umma

Uko sahihi kabisa mkuu ingawa wengi hawawezi kukuelewa,kwanza mauditor wengine hawajui vzr operations za taasisi wanazozikagua,so wanatumia nadharia au by the book sana kiasi hata kama ataona mradi umefanyika na unaonekana kitendo cha kukosa uthibitisho wa documents flaniflani wanastate fedha kiasi flani hazijulikani zimekwenda wapi!,sasa inapokuja masikioni mwa wananchi na likarembwa na wanasiasa inaonekana kuna upigaji.Kuna haja ya wananchi kueleweshwa taarifa za CAG huwa zinamaanisha nini.
Kwanini kukosekane uthibitisho wa hizo document flani flani......hizo documents huwa zinapotea ghafla....??
 
From a person who has been an auditor and an auditee at one point in time...najitahidi kutokua biased bt ukweli ni kua report hii imekaa kisiasa sana...

wanawapa mnachotaka kuskia na km kawaida ya watanzania tulivyo na mihemko basi tuna demka tu...

99% ya watu wanaodemka na hii report hakuna alieisoma hii report wala kujua taratibu za auditing zipoje, wanapewa heading habari kamili wanajazia wao.

Unapofanya audit, kuna kitu kinaitwa auditing queries and its not necessary wizi au ukiukwaji wa sheria, na ndicho kilichopo ktk report ya CAG hizo hoja zinabidi zijibiwe bt kabla wajibu hoja hawajajibu teyari ashaitoa in public(public judgement)- Haya ni Makosa ya Makusudi CAG anayafanya kila mwaka bt who to question?.

Hii ndo sababu baada ya report kua tabled bungeni, inarudi kwa watuhumiwa wanajibu hoja then hakuna kinachoendelea wala watu kuchukiliwa hatua maana wanakuja kugundua hoja nyingine zina majibu bt at that time inakua too late to clear people's name, na hua humuoni CAG akirudi kusema kuna hoja zimefanyiwa kazi tunazitoa kwenye report.
 
uelewa wa wenzetu unashangaza sana. Hata kwenye nyumba yako tu binasfi ukikuta msimamizi kajenga nyumba uthibitisho wa jinsi alivyotumia pesa hana,utamuelewa kweli?!
Mioyoni mwao wanaujua ukweli wanachochangia hapa ni kutapa tapa kwa nafsi baada ya kushindwa kukikubali anachokiona......hayo maneno ni ya kufurahisha nafsi zao...
 
Watanzania wengi wanaweza kujiuliza kwanini riport ya CAG Ina madudu mengi lakini Mhe. Rais na serikali Kwa ujumla awachukui hatua? Wanajiuliza awamu ya sita inafumbia macho wizi na ubadhirifu tofauti na awamu ya Tano? Lakini wapo wanaohoji kama madudu hayayamefanyika wakati wa JPM je mbona alikuwa anatuadaa kwamba hakuna wizi?

Ripoti ya CAG wetu imejikita zaidi kuona kama sheria zilifuatwa? Hata kama hakuna Fedha iliyokwapuliwa lakini akabaini sheria imekiukwa basi yeye anachokuja nacho nikuonyesha serikali imepata hasara Jambo amabalo naamini limekuwa likipotosha umma wa Watanzania.

Mfano Kuna hoja unaona anasema mfumo ulipata itilafu na mifumo Mingine ikatumika kutoa Huduma,Kwake yeye anataka kusema tayari ni ubadhirifu wakati miundombinu Yetu inafahamika wazi kwamba Taifa halina reliable network,electricity nk. Sasa yeye badala ya kuibua ubovu wa miundombinu anakwenda kuangalia waliohudumiwa nje ya mfumo anasema serikali imepata hasara. Hoja za Haina hii haziwezi kumwajibisga mtu maana hazina evidence ni mtumishi Gani au Watumishi Gani walikwapua hizo Fedha?

Mfano mwingine kwenye ujenzi naona anacholeza nikukiukwa Kwa sheria ya manunuzi ambayo sheria Hiyo imepigiwa kelele Sana; ripoti yake inaonekana inawahukumu wale ambao waliona sheria unaleta urasimu wakaamua kufanya kazi speed nje ya sheria kurahisisha ujenzi au manunuzi.

Kwa aina hii ya riport ambayo imeandikwa ikiwa na dhima ya non compliance lakini ikahitimishwa na kiasi Cha ubadhirifu ni dhahiri kila mwaka tutaona anasema Kuna wizi wa mabilioni lakini hakuna wakuchukuliwa hatua Kwa sababu inashindwa kutofautisha wizi ( fedha kuingia mifukoni) na non compliance ( kutumia fedha Kwa KAZI iliyopangwa au kubadili matumizi bila kuweka fedha mfukoni).

Hii ripoti Kila mmoja serikalini ataipuuza Kwa sababu imechafua taasisi Kwa kuonyesha Kuna wizi kumbe ukweli ni watendaji kutozingatia sheria.

Maeneo mengi hakuna wizi Kuna ukiukwaji wa sheria.
Kwa mnufaika wa makosa ya kimantiki lazima atetee kudumisha makosa hayo ili manufaa yaendelee kupatikana🤔
 
From a person who has been an auditor and an auditee at one point in time...najitahidi kutokua biased bt ukweli ni kua report hii imekaa kisiasa sana...

wanawapa mnachotaka kuskia na km kawaida ya watanzania tulivyo na mihemko basi tuna demka tu...

99% ya watu wanaodemka na hii report hakuna alieisoma hii report, wanapewa heading habari kamili wanajazia wao.

Unapofanya audit, kuna kitu kinaitwa auditing queries and its not necessary wizi au ukiukwaji na ndicho kilichopo ktk report ya CAG hizo hoja zinabidi zijibiwe bt kabla wajibu hoja hawajajibu teyari ashaitoa in public(public judgement).
Hii ndo sababu baada ya report kua tabled bungeni hakuna kinachoendelea wala watu kuchukiliwa hatua maana wanakuja kugundua hoja nyingine zina majibu bt at that time inakua too late to clear people's name, na hua humuoni CAG akirudi kusema kuna hoja zimefanyiwa kazi tunazitoa kwenye report.

Mkuu hebu nieleweshe Sio Kwamba baada ya Auditing kunakuwa na Siku kadhaa za Exit meeting,Ku Clear yale mapungufu? Then baada ya hapo Inaenda Ofisi ya CAG kuhitimishwa?
Yaani Mpaka Inatoka kwenye Public nadhani walishakaa pamoja kujibu hoja(Exit meeting) na Zikakosa majibu? Si ndio utaratibu?
Nieleweshe Kaka!
 
Mimi nadhani kuna haha ya kuziangalia upya sheria za manunuzi ya umma.....huko ndiko tatizo linapoanzia...........

Vile vile na nadhani wafanyakazi wa halmashauri waache kufanya kazi kimatukio bali wafanye kazi kwa weledi kupunguza au kuondoa hizo sintofahamu............
 
Hayo mambo yaache kama yalivyo . Nliwahi kuhusika katka mradi mmoja wa ujenzi wa jengo la serikali . hao jamaa hawana huruma kabisa yaani kitu anakiona ila anakudai resit . Unajaribu kumuelewesha hakuelewi . Lakini na Mimi nakiri kuwa kupitia kutokuwa na resit ndo tulimokuwa tunapigia humo. So jamaa wako sahihi kwa namna Fulani .
 
wanawapa mnachotaka kuskia na km kawaida ya watanzania tulivyo na mihemko basi tuna demka tu...
Gobole unapotosha kwa faida ya nani? CAG ameandaa report kuu kwa ajili ya kuonyesha mambo muhimu,halafu kuna report ndogo ndogo kwa kila accounting officer. Kuna mambo ya kawaida na kuna mambo yanayohitaji public attention ndio hayo aliyokuweka kwenye website. Haya anayoweka kwenye hiyo report yanakuwa yanetolewa kwa wahusika wakati anakagua. Yakipata majibu mazuri anaondoka na kubaki na yale ambayo majibu yake kona kona
 
Mkuu hebu nieleweshe Sio Kwamba baada ya Auditing kunakuwa na Siku kadhaa za Exit meeting,Ku Clear yale mapungufu? Then baada ya hapo Inaenda Ofisi ya CAG kuhitimishwa?
Yaani Mpaka Inatoka kwenye Public nadhani walishakaa pamoja kujibu hoja(Exit meeting) na Zikakosa majibu? Si ndio utaratibu?
Nieleweshe Kaka!
Sio mara zote exit meeting zinafanyika, na hazifanyiki wa siku kadhaa, hadly a day or two and sometime never at all na pia huwezi jibu hoja zote kwenye exit meeting.
Hoja nyingine zinahitaji muda kupata vielelezo. Na kwa ufinyu wa bajeti wa CAG sidhani km wana muda wa kukaa ofcn kwako wanasubiri vielezo wakishapata wanachokitaka km hujawakirimu vizuri haooo wanasepa report wanaenda kuandikia dodoma.
Have been around so many auditors in my yrs wengi ni wa kawaida sana sema wakija lazima wapate kitu, yani ni lazima waoneshe walikuepo ht km issue ni minor na km haupo nao vzuri ht exit meeting hawafanyi unashtukia report tu unabaki kujiuliza huyu fala angeuliza si angepata majibu kuliko hizi pumba ameenda kuchoronga.
 
Unapofanya audit, kuna kitu kinaitwa auditing queries and its not necessary wizi au ukiukwaji wa sheria, na ndicho kilichopo ktk report ya CAG hizo hoja zinabidi zijibiwe bt kabla wajibu hoja hawajajibu teyari ashaitoa in public(public judgement)- Haya ni Makosa ya Makusudi CAG anayafanya kila mwaka bt who to question?.
Unazidi kupotosha hapa. Mkaguzi anapokuwa field anatoa hicho unachoita audit query. Wahusika wanajibu na yeye anajiridhisha kama majibu yanafaa. Yale yalikosa majibu ndio yanabaki,kisha anafanya kikao na menejiment kukubalia kuwa haya hayajapata majibu mazuri. Yanakwenda mbele ndio yanaingizwa kwny report.

Kwa hiyo sio kweli kwamba wanapeleka hewani kabla ya majibu. Ukisoma report moja moja unaona zina majibu na anataja tarehe waliofanya kikao kukubaliana.

Unachofanya wewe ni upotoshaji. Tena kwa taarifa yako hawajiandikii tu,hiyo ripoti inapitiwa na jopo la waandamizi na independent techinical. Kikuwa na kitu hakieleweki kinafutwa
 
Mkuu hebu nieleweshe Sio Kwamba baada ya Auditing kunakuwa na Siku kadhaa za Exit meeting,Ku Clear yale mapungufu? Then baada ya hapo Inaenda Ofisi ya CAG kuhitimishwa?
Yaani Mpaka Inatoka kwenye Public nadhani walishakaa pamoja kujibu hoja(Exit meeting) na Zikakosa majibu? Si ndio utaratibu?
Nieleweshe Kaka!
ulichosema ndio sahihi..Huyo Gobole anapotosha
 
Gobole unapotosha kwa faida ya nani? CAG ameandaa report kuu kwa ajili ya kuonyesha mambo muhimu,halafu kuna report ndogo ndogo kwa kila accounting officer. Kuna mambo ya kawaida na kuna mambo yanayohitaji public attention ndio hayo aliyokuweka kwenye website. Haya anayoweka kwenye hiyo report yanakuwa yanetolewa kwa wahusika wakati anakagua. Yakipata majibu mazuri anaondoka na kubaki na yale ambayo majibu yake kona kona
Huo ni mtazamo wako na mimi km nna mtazamo wangu km mdau wa maswala ya auditing sio lazima wote tuwe natazamo mmoja km Nyumbu.
Respect my opition as i respect yours ukiona otherwise unaweza kupiga kimya.
 
Unazidi kupotosha hapa. Mkaguzi anapokuwa field anatoa hicho unachoita audit query. Wahusika wanajibu na yeye anajiridhisha kama majibu yanafaa. Yale yalikosa majibu ndio yanabaki,kisha anafanya kikao na menejiment kukubalia kuwa haya hayajapata majibu mazuri. Yanakwenda mbele ndio yanaingizwa kwny report.

Kwa hiyo sio kweli kwamba wanapeleka hewani kabla ya majibu. Ukisoma report moja moja unaona zina majibu na anataja tarehe waliofanya kikao kukubaliana.

Unachofanya wewe ni upotoshaji. Tena kwa taarifa yako hawajiandikii tu,hiyo ripoti inapitiwa na jopo la waandamizi na independent techinical. Kikuwa na kitu hakieleweki kinafutwa
Unaongea unachokijua au unachokiskia, heb tuanzie hapo.
 
Unajaribu kumuelewesha hakuelewi . Lakini na Mimi nakiri kuwa kupitia kutokuwa na resit ndo tulimokuwa tunapigia humo. So jamaa wako sahihi kwa namna Fulani .
Halafu mtu anakuwaambia kutokuwa na risit sio kosa kwa sababu jengo lipo. huu ni ufala. Sasa tutajuaje kama kweli mwenye duka ulimlipa 10m bila risit? halafu TRA itajuaje kodi? Si unaona TRA wanafukuzana na watu mitaani sababu ya risit. Kwa nini CaG asihoji kukosekana risit
 
Huo ni mtazamo wako na mimi km nna mtazamo wangu km mdau wa maswala ya auditing sio lazima wote tuwe natazamo mmoja km Nyumbu.
Respect my opition as i respect yours ukiona otherwise unaweza kupiga kimya.
Mimi ninakupa kinachofanyika sio mtazamo. acha kudanganya watu. CAG anaongozwa na sheria ya ukaguzi. Nenda kasome. Zinamtaka atoe audit query apate majibu,ahakiki then afanye kikao mambo yajadiliwe
 
Back
Top Bottom