Sio mara zote exit meeting zinafanyika, na hazifanyiki wa siku kadhaa, hadly a day or two and sometime never at all na pia huwezi jibu hoja zote kwenye exit meeting.
Hoja nyingine zinahitaji muda kupata vielelezo. Na kwa ufinyu wa bajeti wa CAG sidhani km wana muda wa kukaa ofcn kwako wanasubiri vielezo wakishapata wanachokitaka km hujawakirimu vizuri haooo wanasepa report wanaenda kuandikia dodoma.
Have been around so many auditors in my yrs wengi ni wa kawaida sana sema wakija lazima wapate kitu, yani ni lazima waoneshe walikuepo ht km issue ni minor na km haupo nao vzuri ht exit meeting hawafanyi unashtukia report tu unabaki kujiuliza huyu fala angeuliza si angepata majibu kuliko hizi pumba ameenda kuchoronga.