From a person who has been an auditor and an auditee at one point in time...najitahidi kutokua biased bt ukweli ni kua report hii imekaa kisiasa sana...
wanawapa mnachotaka kuskia na km kawaida ya watanzania tulivyo na mihemko basi tuna demka tu...
99% ya watu wanaodemka na hii report hakuna alieisoma hii report, wanapewa heading habari kamili wanajazia wao.
Unapofanya audit, kuna kitu kinaitwa auditing queries and its not necessary wizi au ukiukwaji na ndicho kilichopo ktk report ya CAG hizo hoja zinabidi zijibiwe bt kabla wajibu hoja hawajajibu teyari ashaitoa in public(public judgement).
Hii ndo sababu baada ya report kua tabled bungeni hakuna kinachoendelea wala watu kuchukiliwa hatua maana wanakuja kugundua hoja nyingine zina majibu bt at that time inakua too late to clear people's name, na hua humuoni CAG akirudi kusema kuna hoja zimefanyiwa kazi tunazitoa kwenye report.