Ripoti ya CAG juu ya kutohuisha upembuzi yakinifu mradi wa JNHPP ni upotoshaji mkubwa, kuna uwezekano CAG anatumika kisiasa

CCM inapasuka vipande vipande.

Ukifuatilia malumbano huku mitandaoni utadhani ni kati ya chama tawala na upinzani, asilimia kubwa ni ccm wenyewe kwa wenyewe.

Upinzani wangekuwa smart wakatumia huu mwanya 2025 wangechukua nchi.
CCM haiwezi kkupasuka! Hawa CHAWA aka "Sukuma Gang" ni kikundi kidogo sana mitandaoni na hakina mashiko wala mizizi ndani ya chama. 2025 watakuwa wamezima kama moto wa makaratasi, na hili wanalijua wazi. Nafasi walizonazo walizipata kwa kubebwa na mfalume wao. Sasa amekufa, wanatapatapa mitandaoni kutaka kuuaminisha umma kuwa wanaweza kuitikisa CCM. JPM alivurunda, hilo liko wazi na kadri wanavyojaribu kumsafisha ndo wanamchafua zaidi. Watulie SSH aijenge nchi.
 
Ahaaa, nafikiri umeamua kuhamisha magoli, kwa hiyo sasa hivi miti ya ukubwa wa eneo la Dar es salaam imekatwa? Jikite kwenye mada, je vipengele muhimu havikuhuishwa?
 
Toka mwaka 1970 hadi sasa Kuna mabadiliko mengi ambayo yangeweza kuathiri mradi na nitatoa michache.
1) Ujenzi wa mabwawa ya mtera na kidatu kwenye mto Ruaha
2) Ujenzi wa miradi mikubwa ya umwagiliaji ya Kapunga, Mbarali na Madubira.
3)Uvamizi wa bonde la Kilombero na wafugaji iliyosababisha upungufu wa maji
4) Ongezeko kubwa la wakazi katika bonde la Kilombero lililoambatana na ongezeko la mahitaji ya maji
5) Miradi midogomidogo ya umwagiliaji na ule wa shamba la kotaco bonde la mti Kilombero
Kwa kuzingatia hayo hakika kulikuwa na haja kubwa kuhaulisha mradi kabla ya kuanza. Haraka ilikuwa ya nini kuanza mradi unaotumia hela nyingi hivyo bila ya kuzingatia hayo mabadiliko?
 
Bora usingechangia unaharibu muda wako na bando lako
 
Nimeisha kujibu, unataka nikujibu tena Nini.. 1. nimekwambia kipengele cha gharama kufanya mradi Ni za miaka 50 iliyopita 2. Upatikanaji wa maji wa kuendesha mradi ni wa miaka 50 iliyopita. Sasa unawezaje ukafanya mradi ukitegemea data za miaka 50 iliyopita katika mambo muhimu kiasi hicho.. hivi Magu aliwapumbaza kiasi gani hadi hamuoni ukweli ulio wazi kuwa hivyo vitu ambavyo ameacha kufanya hapo juu ndo muhimu zaidi!
Ahaaa, nafikiri umeamua kuhamisha magoli, kwa hiyo sasa hivi miti ya ukubwa wa eneo la Dar es salaam imekatwa? Jikite kwenye mada, je vipengele muhimu havikuhuishwa
 
Msitake mniaminishe kuwa baada ya msiba tarehe 25/3 CAG kaanda ripot ndani ya masaa 48 ndio kaibua ripot ndefu hivi.
 
Wasukuma msahau tena nafasi za juu kwenye nchi hii,,mwendazake kawaharibia,, Twende Na Samia hadi #2045___utaki hama Nchi"
Dada mbona mimi mchimba dhahabu mdogo, nipo Segese Kahama, usidhani kila mtu mpuuzi kama wewe unaetafuta mabwana
 
Iyo misukule ya Magu, mwenzao mwendazake saiz anachezea marungu ya utosi kwa kukatisha uhai wa kina Azory gwanda na wengi wengineo
 
Kasome ripoti ya CAG miradi ya mendeleo ukurasa wa 98.

Mkuu unatumia nguvu kubwa kumtetea poti...lakini hujaweka hata fact moja mbadala. Utafiti hupingwa kwa utafiti. Kiufupi umeandika kama typical politician. This lowers your credibility.
 
Kila mwaka mto rufiji unafurika mpaka watu wanahama makazi yao, sasa kwa akili yako ndodo sijui lini trend ya upatikanaji maji imepungua. Kukosa elimu ni janga kubwa sana hapa Tanzania
 
Report ya CAG iliishiaga wapi???
 
Kila mwaka mto rufiji unafurika mpaka watu wanahama makazi yao, sasa kwa akili yako ndodo sijui lini trend ya upatikanaji maji imepungua. Kukosa elimu ni janga kubwa sana hapa Tanzania
naona blah blah. leta data zinazoonyesha maji hujaa mto rufiji kila mwaka mpaka watu wanahama?
with document kabisa
 
Mkuu unatumia nguvu kubwa kumtetea poti...lakini hujaweka hata fact moja mbadala. Utafiti hupingwa kwa utafiti. Kiufupi umeandika kama typical politician. This lowers your credibility.
Unataka utafiti gani kama vipengele muhimu vilihuishwa? Tatizo lenu mnadanganywa kwa kuwa hamjui nini maana ya upembuzi yakinifu na kufanya updating. Kwani huu mradi ni mali ya hayati JPM? Huu mradi ni mali ya watanzania.
 
Kila mwaka mto rufiji unafurika mpaka watu wanahama makazi yao, sasa kwa akili yako ndodo sijui lini trend ya upatikanaji maji imepungua. Kukosa elimu ni janga kubwa sana hapa Tanzania
Sasa hapa wewe ndo unaleta feasibility study yako uliyofanya binafsi baada ya kushindwa hoja au unataka kuniambia jina la kampuni iliyofanya feasibility study ya upatikanaji wa maji na gharama za mradi? Mbona kama umevurugwa baada ya kushindwa hoja😂😂😂
 

CAG kuna makosa kafanya kwani siye pekee anaye kagua pekeyake nchi nzima kuna watu chini yake wanaweza kuwa vibaraka hivi kwa akili ndogo ukisema gharama za mradi ni za miaka 50 unajua pesa yake ilikuwa mgapi na sasa ni ngapi inalipwa vipo sawa kweli ?
 
Niulize tu, hivi mbona hatusomi chochote kuhusu report ya CAG kutoka ofisi mbili, ofisi ya makamu wa raisi na ofisi ya waziri wa fedha?

Kwamba ofiri aliyokuwepo SSH ilikuwa safi au ofisi aliyokuwepo mpango ilikuwa safi? Nchi ngumu sana hii.
Ofisi yake haina chochote zaid ya kero za muungano na Mazingira.vitu vyote vya Hela mwendazake aliviweka chin yake.Ni Mara ngapi mama ameomba kujiudhuru Ili amuachie serikali yake lakn wenye busara wakamuambia subir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…